Mpenzi wangu kaniomba msamaha

Mpenzi wangu kaniomba msamaha

Tajirimtata

Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
23
Reaction score
8
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
 
kuna rafiki yangu mmoja alishaniambia wanaume sisi ni mabwege
 
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife

Nimeona thread zako kama ya pili hii leo halaf mwendelezo wako n.mapenz tu kwan.lazima akikuacha angalia mbele maisha lazima yasonge
 
Ameona thread zako za Leo nn?? Maana ulikua unazishusha kama mvua,
Yan mwanaume Una roho njepesi wewe....
Af et unajiita tajirimtata, huna utata wowote....

ILA hongera bhana
 
Alikuacha kwakua alihisi amepata mbadala wako sasa mambo yakwa sio,sasa we subiri kibuti kinachofuata ndo utaona
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
 
Tajirimtata, tuambie kuhusu huyu wife wako tafadhali. Inaonesha wampenda sanae??
Mlikutanaje? Lini? ..nitafurahi ukituhadithia kisa chenu.
 
Last edited by a moderator:
ukiwemo wewe na baba yako.

Baba yangu na mimi siyo mabwege ndiyo maana nilivyoona umemkubalia huyo k*ma mwenzio kwamba wanaume ni mabwege nikaona kuna umuhimu wa kukuuliza kama wewe na baba yako ni mabwege.

Wewe na baba yako ni mabwege?
 
Hongera mkuu
 
Attachments

  • 1408463966715.jpg
    1408463966715.jpg
    8.2 KB · Views: 261
Back
Top Bottom