Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
SisimiziUnamtukana TISS wewe nyenyere?
SisimiziUnamtukana TISS wewe nyenyere?
Kula tano bro✋✋Mwambie auze hiyo simu nyingine aongezee hiyo 60elf ili anunue, mwambie hela ulizokuwa nazo umenunua kiwanja, uone kama anathamini nini kati ya simu na kiwanja {hewa}...hapo ndo utakapojua kama ni wa kupiga chini au lah...
Namba yangu hii hapa. NitafuteUjisalimishe mwenyewe kituo chochote cha polisi kwa mahojiano kabla hujatafutwa
Mpige chini umchukue mpenzi REVOLA CHAPUTA.Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Itelngo
ngoja wanakuja kukupa ushauri ila usichukie tu na wengine watakuomba namba ya mpenxi wako wakusaidie kumpa iyo 30
smartphone kwa tsh 60. which brand? hahaha
Chuga wana ujanja gani?Wewe mchuga chuga wewe. Lakin sasa mbona chuga wajanja? Au wewe Wa kuja?
Achana naye. Kazi kuomba tu...Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Itelngo
ngoja wanakuja kukupa ushauri ila usichukie tu na wengine watakuomba namba ya mpenxi wako wakusaidie kumpa iyo 30
smartphone kwa tsh 60. which brand? hahaha
Pm namba yake nijaribu kumshauriWasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Sina
Ukimpiga chini si utamuua mkuu?!!
Hivi kuna smart zinauzwa 60000ndo zinaitwaje? Au unazungumzia screen touch mtoa mada
Wewe dogo ni bonge la mpuuzi.
Sasa elfu 30 ni hela ya kukufanya uanzishe thread
Wasalaam