Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

Hahahhaha kuna smart ya 60+30=90
Rabda akaokote hakuna smart ya bei io ww unabert tu
 
Mwambie auze hiyo simu nyingine aongezee hiyo 60elf ili anunue, mwambie hela ulizokuwa nazo umenunua kiwanja, uone kama anathamini nini kati ya simu na kiwanja {hewa}...hapo ndo utakapojua kama ni wa kupiga chini au lah...
 
Back
Top Bottom