Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

Mpe Hela.Amekuheshimu kukuambia hitaji lake angeweza kumuambia Extrovert bila wewe kujua.Kama unajua kipato chako ni kidogo hukupaswa kujiongezea majukumu ya kumiliki na kuhudumia papuchi.Mpe pesa binti.
 
Kwenye kumbenjua huombii ushauri ila kwenye pesa aaaaah sujui unataka tushiliki wote kutoa hiyo 30k
 
Yaani kuombwa 30k unaomba na ushauri juu seriously?!
30k unataka na kumpiga mtu chini?!!
nmecheka ila si heri ungemsubirisha adi mwisho wa mwezi
 
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Mkuuu miamala mengine unajiongeza tu
 
Kwahiyo umeshindwa kumwambia kama hauna?
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
 
Nipe number zake nikupeye naye hizo elfu 30 na usisahau kurejesha Sim ya mamaako pumbavu
 
Nakushauri hiv kama una malengo nahuyo demu wako mpe wala usijali ila kama nidemu wako tuu na huna malengo nae unaweza uka msaidiatu kama kipato kina ruhusu
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
 
Umeshasema ww bahili unachotaka kushauriwa nn
 
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine,
Nifanyeje wakuu, msaada wenu tafadhali
Au nimpige chini?
Naomba namba yake ya simu nitakusaidia kumpa elfy 30. Wala usimpige na chini mana vile unavokuwa unamgegeda wewe hujui maumivu yake. Kinyume cha hivo huo mshipa wako upindishe na uwelekeze nyuma ya mat...o yako.
 
Mpige chini

Ama kama unahitaji asaidiwe mtumie namba ya huyo mpenzi wako Asprin ..huwa anasaidia sana
Nachokupendea unayajali sana maslahi yangu. Uswahiba wetu na udumu daima milele.

Ila nakufahamisha mpaka sasa sijaletewa hayo maombi...
 
Hebu nipe namba yake nimtumie hiyo 30k usipate shida jombaa
 
Mkuu,ni vizuri uwe na mpenzi anayeendana na kipato chako. kama unapokea 20 tafuta wenye hadhi ya 20,kama unapokea 50 tafuta wenye hadhi ya 50 n.k
 
Back
Top Bottom