Mpenzi wangu kanikataa live leo


Mkuu asante sana kwa kunitoa giza kidogo.

Huyu demu nilikuwa nikitaka hata kumshika kiuno anadai yeye hapendi kushikwa tukiwa hadharani wakati huo tupo wawili ndo nilikuwa njiuliza kulikoni.
Mkuu nimeupata ushauri wako ntaufanyia kazi

Hasa hapa pa kuwa na marafiki wengi wa kike naona nipamhimu.
 
Poa mkuu nimekupata baharia mwenzetu japo nimefeli.
 

Kitendo cha mwanamke kukubali kuja sehemu ulipo, na kukaa na wewe mkiwa mpo nyie wawili tu, hiyo ni dalili kubwa sana kwamba huyo mwanamke anavutiwa na wewe na ukienda nae vizuri unamla kiulaini kabisa. Kumbuka, ana wanaume wengine 37 wanaomsumbua kila saa ila kawaacha kaja kwako. We usimsikilize anachosema, maana wanawake hata wao huwa hawaelewi wanachotaka! Unachofeli wewe ni jinsi ya ku transition kutoka kwenye kukaa tu mkipiga stori hadi kujikuta uchi kitandani. Hapo ndio unatakiwa kupafanyia kazi.
 
[emoji119][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwanza kwa yalio kukuta ila wewe ni mpuuzi kwan wasichana wa Siku hiz wanatufanya boyz kama bank au supermarket kwahy na wew ukataka kumla mzigo ila yey nadhan alikuwa Tatar na mtu mwingine alivyoona kuwa amekula vingi toka kwako alafu sehemu nyingine ipo kaamua akumwage bwege kama wew maana kitu kama hiki ndy kiwe fundisho kwako na kwa wengine msio jua tabia za girlz wa sasa

Asante

Think before u do.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hamna mahusiano yaliyotimia. Pili acha kulala na mwanamke wa hivyo mvua za masika hizi kalime kama vipi nenda pale kiegeya kuna kazi ya saidia fundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…