kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
Habari wanajukwaa,
Labda nianze kwa kusema haya sasa ni mapenzi au wizi? Mnamo juzi kati siku ya jumapili tuligombana na mke wangu lakini ulikuwa ni ugomvi wa kawaida tu, kama mnavojua katika mapenzi lazima iwepo mitafaruku ya hapa na pale, tukanuniana siku nzima lakin kufikia jumatatu kila mtu akawa kama ameshapotezea hivi.
Jana kaniandalia chai vizuri, nikanywa nikaondoka zangu kazini, cha ajabu jioni narudi kazini nakuta hakuna mtu wala hakuna kitu cha aina yoyote mule ndani kwa maana nyingine (ametoroka) kabeba kila kitu kilicho chake na kisicho chake, na hapa nilipo nilienda kulala kwa rafiki yangu sijaenda kazini na sielewi nifanyenini.
Oohhhh pole sana dada kwan haukuwa nae kwa muda mrefu au mlikutana bar,,,,,,!!!!!na kwa nn ulimpelika kwako
Samahani mkuu huyo dada ulikuwa unaishi nae tu au ni mkeo wa ndoa?? pole kwa yaliyokukuta.
asante, ni mke wangu wa ndoa na kanizalia mtoto 1
Teheteheee Preta na mimi nipo Bunda pia naandaa njia ya safari ya MATUMAINI kwa waTanzania. Kama vipi nikupokee mwanaJF mwenzio
Basi huyo alikuwa mwizi sio mke tena....hapo bar alikupa taarifa kuwa yupo na kaka yake? wadada sijui kwann tuko hivi it's not fair...tuwaoneege huruma hawa kaka zetu wakati mwingine
Duuhuuuuu pole sana ukweni umetoa taarifa au ni mambo kifamilia mlikosana kiasikwamba akishindwa kuvumilia kwa kile ulicho mfanyiiaa
we umeskia za watu kweli unafikiri nimemtoa bar?
Unaelekea bunda !! kunamatatizo gani?
Nimebaki kustaajabu.....maana yaliyowakuta wale maticha , hakika hawatakaa wasahau mpaka wanaingia kaburini.
teh teh teh..mkuu unachekesha.Kwa hiyo unataka tukusaidie kumtafuta ??
Ur name says it all.
teh teh teh..mkuu unachekesha.
Mtu anapost pumba unategemea umjibu vipi ?? Hahaha
Hapana si ulisema ulimuona sehemu hivi yuko na mwanaume? ndio nikakuuliza kama huyo jamaa alikuwa ni ndugu yake si angekupa taarifa mapema kuliko kukudanganya yuko home anapika.
bora mimi niliepost pumba kuliko ww uliyecomment matapishi.