Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

baada ya kuondoka umejua thamani yake ungesuluhisha mapema asngeondoka nenda kwa wazazi wake utoe taarifa kwanza kabla hujadaiwa binti wa wenyewe

thamani yake niliijua toka mwanzo na ndo maana nikaamua kumuweka ndani, ila yeye kashindwa kutambua thamani yangu kwake ndo mana kaondoka.
 

Hivi wake wa kuandalia chai waume zao bado wapo?
 
He he he.......pole sana.......
Naelekea Bunda kutatua matatizo ya walimu .......nikirudi nitakwambia cha kufanya.........

Teheteheee Preta na mimi nipo Bunda pia naandaa njia ya safari ya MATUMAINI kwa waTanzania. Kama vipi nikupokee mwanaJF mwenzio
 
Last edited by a moderator:

nimeipenda hii
 
Huyu alikuwa mke au kimada? Ulimuokota wapi? Hujui wazazi wake wanaishi wapi? Hujui ndugu, jamaa na marafiki zake wanaishi wapi ili ukaanzie huko?
 
Kutoroka? ndo maana sijaoa nanina 27-33yrs na sina mpango naogopa kutendwa kama jamaa.

Naona umri wako haujawa stable mkuu,perhaps ukiishatulia utaoa tu...maana naona umri wako unapanda na kushuka kitakwimu haupo spesific! Lakini say una miaka hata 200 nani alikuadanganya kwamba umri ni kigezo cha kuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…