pole sana itafika muda you will learn to let it go,hiyo inaumizaga sana i have been there yaani utadhani unanisema mimi enzi hizo na ma ex.TOUGH LOVE.Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau
Ushauri jamani..
mtumwa sana afu hakwambii kama hakutaki ni vitendo tu inaumaga sanaAmeshachuniwa wiki sasa mambo hayaendi jamaa hata hakumbuki. Ngumu Sana kujiweka sehemu ambapo hupendwi, unakuwa mtumwa.
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau
Ushauri jamani..
ha ha ha una vituko dada wa mimi
you are correct a hundred percentAu nasema uongo kaka wa mimi?
Wakati mwingine huwa naamini mapenzi hayakuwekwa kwa watoto au watu wasiojielewa...
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.
Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay
pole hapo hupendwi na wala haoni umuhimu wako atakuchezea akuache kwenye mataa
Ukianza kumuwaza kumbuka mabaya yake yote....