Mpenzi wangu kanambia nimuache kwanza

Mpenzi wangu kanambia nimuache kwanza

muyatz

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
50
Reaction score
19
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,

Mpenzi wangu kaniambia nimuache kwanza, basi mimi nikamjibu “ok sawa”zimepita siku karibu tano saizi atujatafutana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema” bila kusita nikafute ile SMS kwa sababu nilijua tu kuwa ni yeye kwa kuwa namba yake nakumbuka ilihishia 51.

Jamani wana JF nipeni ushauri nifanyeje bado nampenda sana uyo mwanamke.
 
kama kichwa cha habari kinavyo sema, mpenzi wangu kaniambia nimuache kwanza,basi mimi nikamjibu “ok sawa”Zimepita siku karibu tano saizi atujatafitana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema” bila kusita nikafute ile sms kwa sababu nilijua tu kuwa niyeye kwa kuwa namba yake nakumbuka ilihishia 51.Jamani wana JF nipeni ushauri nifanyeje bado nampenda sana uyo mwanamke
Hapo kaanza kujileta. Sasa uamuzi ni wako, Kuendelea naye ama laa.

Hapo ukiendelea kumchunia, Ndo atazidi kuchanganyikiwa na wewe

Hapo anataka muendelee, Si unampenda, mkaushie kidogo jifanye kama hauMIND alafu jipangie Siku muitw geto, Ule vyako.
 
Mpenzi wako akikuambia umuache Kwanza ujue amekusaidia tu kupunguza ukali wake wa maneno Kwako kuwa HAKUTAKI na CHUKUA ZAKO TIME. Hivi kwanini huwa mnakuwa na Vichwa Vigumu kusoma alama za nyakati na ramani ya Vita?
 
Zimepita siku karibu tano saizi atujatafitana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema”

Haha 'Hila' na wewe bwana 'hungemjibu'
 
Haka bado katoto kbs
Unataka kutuaminisha unapendwa mpaka unabembelezwa

Mwanamke akikuambia niache kwanza

Mpe hela muachane vzr

Teh
 
Hapo kaanza kujileta. Sasa uamuzi ni wako, Kuendelea naye ama laa.

Hapo ukiendelea kumchunia, Ndo atazidi kuchanganyikiwa na wewe

Hapo anataka muendelee, Si unampenda, mkaushie kidogo jifanye kama hauMIND alafu jipangie Siku muitw geto, Ule vyako.
safi ushauri wako ni mzuri
 
Zimepita siku karibu tano saizi atujatafitana kwani hata namba yake nilifuta kwa ajili ya asila hila juzi usiku kanitumia sms ikisema? “usiku mwema”

Haha 'Hila' na wewe bwana 'hungemjibu'
Ndio hapo sasa nilipo jichanganya.
 
Back
Top Bottom