Mpenzi wangu kabadilika

Hahahah hio ni kiboko, demu mpaka anakupiga ...pection!!?? Kweli alimisi hela zako komaa na head tu aidha kusuka au kunyoa!!!
 
b7587259822a50b3a232c010175aa579.jpg
 
Wakati haupo nahisi kuna ambao alikuwa anawaomba pesa wakusaidie kuhudumia.Kuwa mpole tu maana hata papuchi hawakuiacha salama mkuu
 
Inasikitisha sana...

Kosa ulilifanya mwanzo, kumzoesha kumpa pesa mara kwa mara hata pale alipokuwa hana uhitaji na hiyo pesa... Siyo vibaya kumpa pesa, ila kumzoesha pesa ni tatizo...

Thank God mahondaw wangu have never do such a thing to me and she will never... she is a very understanding, beautiful young lady...

cc: mahondaw
 
Tabia mbaya sana eti unamsachi mtu hadi mfukoni..huko ni kukosa maadili ..hivi sikuhizi kuna unyago kweli? Au ndo.hzo kitchen party mnafudishwa kumsachi mwanaume uki demand hela. Pengine mwanaume alikua tayar kumhudumia na tena mbona mwanzo alikua anafanya hivo imekuwaje sasa anamuona kama shopping mall ama benki..
Huyo akatafute mapedeshee tu.
Na pia mleta mada hatua ya kukimbia ni nzuri sana, kimbia na wala usigeuke nyuma.
Brother nlkuw npo tayar kumhudumia dogo kiukwel hata hyo 25000±26000 nlkuw nmtumie mwez ujao nkipata mshahara lakn sijui aljua siwez fany maamuz magum kisa nampenda?
 
Unaonekana uko polite sana mzee, wanawake hawataki hiyo kitu. Mwanamke unatakiwa kumuendesha vinginevyo lazima yeye ndio akuendeshe. So far huyo hakufai mzee chapa lapa.

Najaribu kuvuta picha angenisachi mimi, sijui ingekuwaje yani. Be a man Muraa.
 
Inasikitisha sana...

Kosa ulilifanya mwanzo, kumzoesha kumpa pesa mara kwa mara hata pale alipokuwa hana uhitaji na hiyo pesa... Siyo vibaya kumpa pesa, ila kumzoesha pesa ni tatizo...

Thank God mahondaw wangu have never do such a thing to me and she will never... she is a very understanding, beautiful young lady...

cc: mahondaw

You're are a responsible man my king..... Always You know what you are doing..

Thanks again and again sweetheart
 
Brother nlkuw npo tayar kumhudumia dogo kiukwel hata hyo 25000±26000 nlkuw nmtumie mwez ujao nkipata mshahara lakn sijui aljua siwez fany maamuz magum kisa nampenda?
Usjal brother, maadam Mungu anakupenda na amekuepusha na hilo janga, basi mshukuru tu halafu usonge mbele ukimuomba akupatie kutoka kwake mwanamke atakaekufaa. Japo naona unalalamikiwa kwamba ulikosea mwanzo kwa kumzoesha kumpa hela lakin naamin ulifanya kwa upendo tu lakini yeye sababu ya mapungufu ya akili yake aka take advantage. So maadam hamjaoana basi simamia maamuz yako ya kukaa nae mbali.
 
Tabia mbaya sana eti unamsachi mtu hadi mfukoni..huko ni kukosa maadili ..hivi sikuhizi kuna unyago kweli? Au ndo.hzo kitchen party mnafudishwa kumsachi mwanaume uki demand hela. Pengine mwanaume alikua tayar kumhudumia na tena mbona mwanzo alikua anafanya hivo imekuwaje sasa anamuona kama shopping mall ama benki..
Huyo akatafute mapedeshee tu.
Na pia mleta mada hatua ya kukimbia ni nzuri sana, kimbia na wala usigeuke nyuma.
Huwezi kusachiwa kama wewe husachi
 
Toa pesa wewe mi Baba angu alishaganambia usimnyime mwanamke pesa itakuongezea akili na nguvu ya kuzitafta
 
Huwezi kusachiwa kama wewe husachi
There is nothing u can say to justify hii Tabia mbovu, ni kukosa heshima
Au ndo mnavondushwa huko kitchen party, kwamba uwe unamsachi mumeo kama ana pesa na kuumuliza kwa dharau "pesa ziko wapi"
off you go nenda kwa mapedeshee ambao wataeza ku tolerate that kind of behaviour, wakakupe hizo pesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom