Mpenzi wangu kabadilika

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
3,117
2,000
Nilimuacha home mpenz wangu tukiwa tumepeana ahadi za kuoana alikuwa hana tendency ya kuniomba pesa na mm huwa napenda mwanamke wa dizain hiyo kwani nilikuwa nampa pesa mara kwa mara bila hata ya yeye kuniomba ghafla nikaondoka kikazi na ndipo mawasiliano yalipo kuwa magum ndani ya miezi sita. Hasa saiv nmerud nkawa nmemtafut nkaona love limerud nkawa nmempatia sim yang maana hakuwa na sim tena
Chakushangaza baada ya kumpa sim mizinga ikaanza mara anaomba pesa ya viatu 25000 mara kunanguo anahitaj 26000 sijakaa sawa ananiambia kuwa kunanguo ameipenda 45000 ndipo nlpo shangaa mpenz wang hakuw hiv mbona kabadilika hv? chatting zenyewe nlzo kua nachat nae hazioneshi n kama mtu na mpenz wake yaan nlcho amua n kumuacha tu maana siku yakwanza ilkuw aliniulza hujaja na pesa? akaanza nisachi hadi mfukoni ndio kukuta 4000 na kadi ya benk na alvyo niulza tena mbona hauna pesa nkamwambia huwa sitembei napesa mara nying labda benk. Isitoshe ivo viatu na nguo nilimuahid kumnunulia alipo kuja na kipya kuwa kunanguo kaipenda 45000 ndipo nlpo shtuka.
Hapo nmefupisha tu na ndio yaliyo nikuta hayooooo.
 
MulRZGM

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,002

Duhh... Nkisema ulikosea tokea mwanzon cjui ntakua sahh au vp... Mama kumbe umeliamsha dude
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Mpige Chini tu kwa style hyo mshahara utaishia kwake, tafuta sehemu nyingne uwe unakula papuch kwa Usawa mdogo wa kipesa
 
MulRZGM

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,002
2,000
Nilkosea vp mkuu?
Kumuazshia kumpa ela mapema... So inavoonekana ulimuhamisha kbsa ktk mstar wa love... then umemleta ktk kukuvuna pesa, yaani ni umebugi, ulimwaminisha kuwa "pesa kwanza then mapenzi... " sasa now unaexperience the consequence... Ndo vzur lakin ujifunze ktokana n makosa!

FUNDISHO LANGU KWAKO:

pesa ktk mapenzi uwa ni tukio tu kam matukio mengine vile ambayo hujengwa n hisia tofaut tofaut...

Na, Hisia ndyo hujenga tukio, siyo tukio lijenge Hisia (japo bado itategemea pia ni aina gani ya tukio),

ila ktk suala la mapenz, ni hisia kwanza then ndo tukio....... (Vile niaminivyo)

Pole sana mkuu!
 
Mkuu ungeulza na sabab ya kumpa pesa n nn huwa sitoagi pesa kizembe ujue anatatzo nmeliona kwake.
 
BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,191
2,000
Kaona umuhudumii wakati wewe unataka huduma,nyie viumbe wabinafsi sana..
Tabia mbaya sana eti unamsachi mtu hadi mfukoni..huko ni kukosa maadili ..hivi sikuhizi kuna unyago kweli? Au ndo.hzo kitchen party mnafudishwa kumsachi mwanaume uki demand hela. Pengine mwanaume alikua tayar kumhudumia na tena mbona mwanzo alikua anafanya hivo imekuwaje sasa anamuona kama shopping mall ama benki..
Huyo akatafute mapedeshee tu.
Na pia mleta mada hatua ya kukimbia ni nzuri sana, kimbia na wala usigeuke nyuma.
 
Sent Kb

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,669
2,000
Ameshaonjeshwa ladha ya pesa, hivyo chagua moja kumpa hela uendelee kufaidi kipochi manyoa au kumpiga chini..!!

Ila huyo demu hakufai hata kwa kurumangia..!!!
 
simba jike

Senior Member
Mar 23, 2017
182
1,000
Huoni hata haya tu hela twa chumvi ndo unakuja kupiga kelele hapa!? Angekuomba laki tano au milioni si ungeenda polisi kushtaki? Hebu kua bhana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom