Mpenzi wangu kabadilika

Mkuu ungeulza na sabab ya kumpa pesa n nn huwa sitoagi pesa kizembe ujue anatatzo nmeliona kwake.
Sasa ungesema n ilo ktk thread yako.... Kuwa ulikua n reason ya ww kuanza kumpa ela, n co ulianza kumpa ela tu pacpokua n 7babu!

By the way, ilo tatzo alilokua nalo ulilipima ukalinganisha n msaada unaotoa kwake?

You were just making it rain all the time...
 
Nilimuacha home mpenz wangu tukiwa tumepeana ahadi za kuoana alikuwa hana tendency ya kuniomba pesa na mm huwa napenda mwanamke wa dizain hiyo kwani nilikuwa nampa pesa mara kwa mara bila hata ya yeye kuniomba ghafla nikaondoka kikazi na ndipo mawasiliano yalipo kuwa magum ndani ya miezi sita. Hasa saiv nmerud nkawa nmemtafut nkaona love limerud nkawa nmempatia sim yang maana hakuwa na sim tena
Chakushangaza baada ya kumpa sim mizinga ikaanza mara anaomba pesa ya viatu 25000 mara kunanguo anahitaj 26000 sijakaa sawa ananiambia kuwa kunanguo ameipenda 45000 ndipo nlpo shangaa mpenz wang hakuw hiv mbona kabadilika hv? chatting zenyewe nlzo kua nachat nae hazioneshi n kama mtu na mpenz wake yaan nlcho amua n kumuacha tu maana siku yakwanza ilkuw aliniulza hujaja na pesa? akaanza nisachi hadi mfukoni ndio kukuta 4000 na kadi ya benk na alvyo niulza tena mbona hauna pesa nkamwambia huwa sitembei napesa mara nying labda benk. Isitoshe ivo viatu na nguo nilimuahid kumnunulia alipo kuja na kipya kuwa kunanguo kaipenda 45000 ndipo nlpo shtuka.
Hapo nmefupisha tu na ndio yaliyo nikuta hayooooo.
Muoe awe anijiibia!
 
Nawewe Badilika mkuu,
Kama hujawahi kumwomba **** pori(kijambio) mwombe
Kama hujawah kumgegeda mdomon mpaka ukamaliza anza sasa
Yaan mwonyeshe vituko mpaka anavyofanya yeye viwe kama tela tu, ili mwende sawa
 
Kaona umuhudumii wakati wewe unataka huduma,nyie viumbe wabinafsi sana..

Tatizo lenu mnaonaga kugegedwa ni single hand benefit.,, Sisi tunavyowagegeda hiyo sio huduma kwenu..?? bado na pesa juu, mnaona haitoshi mnatupiga na mizinga ya bila kutegemea...!! Wanaume pesa zao zina matumizi mengi sana kando ya kutumbua na kuhonga. Na kwa jinsi msivyotaka kuolewa na makapuku mnadhani izo pesa zinatengenezwa in short run..??
 
MTU anakusachi mpaka mfukoni unamwangalia tu,mlishe Kofi kwanza,..

Mwanaume wa dar huyo,, hawezi hata kunyanyua kofi kumnasa mwanamke ingawa sio vizr pia... Ila ikibidi unamnasa hata la kimahaba lkn limuingie...!!
 
Mwanaume wa dar huyo,, hawezi hata kunyanyua kofi kumnasa mwanamke ingawa sio vizr pia... Ila ikibidi unamnasa hata la kimahaba lkn limuingie...!!

Ata kukaripia ni Kofi,..ukiona anafikia hatua mbaya ya kutokuheshim ujue anakujarib,..sasa action yako ndo inatakayo matter,wanawake wanamajaribu sana mkuu,..ndo maana tumeambiwa tuishi nayo kwa hekima,
 
Mwanaume wa dar huyo,, hawezi hata kunyanyua kofi kumnasa mwanamke ingawa sio vizr pia... Ila ikibidi unamnasa hata la kimahaba lkn limuingie...!!
Unamuacha tu hamna haja ya kumpga ila kinachofuata tu ni kufanya uamzi mgum tu bas ili aisome namba kama wimbo wa CCM mbele kwa mbele.
 
Guys mwanamke kutamani kitu ni nature yke na wala sio kosa,unaweza ukamnunulia gari asubuhi alafu jioni akasema anataka Bajaj ya kuendea sokoni ..Muhimu ni kuongea nae!! Sasa ww umeombwa elfu26 ya Shati alafu jioni anataka elf 45 then unalalamika?Unashindwaje kumwambia bby hz nguo zte ni nzuri sana but for now tuchukue moja then hii nyingine ntakununulia Mwiaho wa mwezi nikipokea salary!cunajua Jinsi nnavyopenda kukuona unapendeza...unampiga na kofi kidogo kwenye kalio‍♀️tuone kama atakusachi?vijana mnaangamia kwa kukosa maarifa..
 
Labda kama ww ni papaa ndama mutu ya kongo ndo utafanya yote hayo.
 
Guys mwanamke kutamani kitu ni nature yke na wala sio kosa,unaweza ukamnunulia gari asubuhi alafu jioni akasema anataka Bajaj ya kuendea sokoni ..Muhimu ni kuongea nae!! Sasa ww umeombwa elfu26 ya Shati alafu jioni anataka elf 45 then unalalamika?Unashindwaje kumwambia bby hz nguo zte ni nzuri sana but for now tuchukue moja then hii nyingine ntakununulia Mwiaho wa mwezi nikipokea salary!cunajua Jinsi nnavyopenda kukuona unapendeza...unampiga na kofi kidogo kwenye kalio‍♀️tuone kama atakusachi?vijana mnaangamia kwa kukosa maarifa..
Nilimjibu vzur tu nikamwambia mbona kwa sasa sina pesa mpenz wang? akanijibu kwahiyo? huyu alkuw anatikisa kiberiti unajua ndugu.
 
Tendo la kibiology ulikuwa unapata lakini?? Kama hivyo sawa Muache aende akamtafute Kibopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom