Agnessjuma
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 317
- 86
Akienda kuoga ataikuta katika maji akiniuliza nitamjib mm cjuiUna password ngapi? Rafiki yangu an password kuanzia kwenye sms, watsapp mpaka picha
Akienda kuoga ataikuta katika maji akiniuliza nitamjib mm cjuiUna password ngapi? Rafiki yangu an password kuanzia kwenye sms, watsapp mpaka picha
Nlidhani kuna tofauti kati mapenzi na uhuru wa maisha binafsi, kama unampenda nampenda kweli sidhani kama ni sababu ya kutokuwa na uhuru binafsi. Asanteumuache kwa kuwa ana wizu haina maana! dunia ya leo utamwamini nani lazima awe makini maana hao sio dada zako so uwezekano wa kutembea nao ni mkubwa. tulia nae mfanye maisha. mkipendwa mnaona shida, msipopendwa na kuonewa wivu mnaanza kulalamika. hebu tulia nae na jiepushe urafiki na kina dada umpe amani mwenzako
Nlidhani tukiongelea muda hata mimi wangu umepotea,Miaka mitano unamahusiano nae hujamuoa, afu unawaza kumuacha kwa kipindi chooote ulichompotezea mda akikuendea kwa wich afu kajamaa kasisimame kabisa atakuwa amekosea kweli!
Powa mkuu ila fanya utaratib umuoe kama humuoi mwambie mapema, mahusiano ya mda mrefu huuma sanaNlidhani tukiongelea muda hata mimi wangu umepotea,
wangapi wanaingia kwenye ndoa halafu wanatoka. Asante kwa mawazo yako
Uelewa ukichukua nafasi no problem.Tabu sana aise especially kwa sisi tunaoelewa halafu mwenzako haelewi baadhi ya vitu, inachosha
Una password ngapi? Rafiki yangu an password kuanzia kwenye sms, watsapp mpaka picha
nakung'oa meno.Akienda kuoga ataikuta katika maji akiniuliza nitamjib mm cjui
Naamini siku atakayoweka password patachimbika.Muoe kwanza labda roho yake itatulia
halafu weka pasword simu yako