Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Kwa mwanaume ambae hajanioa sintopenda ukaribu wa hivyo na ndugu zangu. Amtembelee na mimi nikiwepo. Dunia imechafuka hamna wa kumwamini.
Punguza wivu mammie
 
Hapo kuna matatu.
Moja,anajua tabia yako ya kupitia kila mwanamke.
Pili,anajua tabia ya mdogo wake ya kujipendekeza.
Tatu,anaofia mdogo wake ana mvuto zaidi yake.
 
Kwa mwanaume ambae hajanioa sintopenda ukaribu wa hivyo na ndugu zangu. Amtembelee na mimi nikiwepo. Dunia imechafuka hamna wa kumwamini.
Mi hata kama amenioa, mdogo angu wa kike kuja hom wakati sipo, hyo haipo.
 
Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.

Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata mara moja...sasa hii imekaa sawa kweli as ma mm nmemmisi shem wangu??
Atakuwa hakuamini,hata hivo haisaidii kwa vile kama ni mechi za ugenini siyo lazima upige na huyo mdogo wake
 
Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.

Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata mara moja...sasa hii imekaa sawa kweli as ma mm nmemmisi shem wangu??
Nipe namba ya mdogo wake utakuwa unakuja kumtembelea kwangu...ukija uje na dada yake.
 
Back
Top Bottom