Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Kasoma Raman vuzuri hawezi kumruhusu mdogi wake aje kwa nyang'au[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji10]
 
Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.

Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata mara moja...sasa hii imekaa sawa kweli as ma mm nmemmisi shem wangu??

Huyo mpenzio atakuwa member wa jamii forums kwa muda mrefu sana, bila shaka atakuwa amepitia nyuzi nyingi za watu waliowagegeda shemeji zao, amejenga UKUTA
 
Hapo labda kuna mawili, either wewe sio mzuri or mdogo wake anamjua pitia pitia kwa pita
 
Najarbu kufikiria point yako...kwahyo mashem kutembeleana ni utovu wa nidhamu
Kwa mwanaume ambae hajanioa sintopenda ukaribu wa hivyo na ndugu zangu. Amtembelee na mimi nikiwepo. Dunia imechafuka hamna wa kumwamini.
 
We unataka akusalimie kwani unaumwa au
 
Back
Top Bottom