Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.

Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata mara moja...sasa hii imekaa sawa kweli as ma mm nmemmisi shem wangu??

Chai hii
 
Sioni kosa hapo na hivi ni wapenzi hushindwi kuwagonganaisha.
Halafu huyo mdogo wake kwako anakuja kufanya nini?Anatakiwa akija aje na dadake au dadake ndo amlete sio ajitoe huko ajilete sio adabu
Halafu unaoneka hujatulia yaani hupitwi hivo
anaogopa usijepita na mdogo wake ukawachanganya.
doh...kumbe ndo anavyomaanisha...bt mm sikuwa na lengo baya as dadamtu amesafr so nikataka nimwite shem as amekuja town kufuatilia mambo yake
 
Akutembelee au awatembelee? Mke anaishi mkoa mwingine? Kama ni hivyo wewe au huyo mdogo wake kuna mmoja ana tabia mbaya, yupo fasta kukamatia fursa
 
Akutembelee au awatembelee? Mke anaishi mkoa mwingine? Kama ni hivyo wewe au huyo mdogo wake kuna mmoja ana tabia mbaya, yupo fasta kukamatia fursa
Amesafr kikazi
 
Katika akili ya kawaida kabisa....kuna haja gani ya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume kama huyo.....

Alafu kibaya zaidi yeye mwenyewe kuwa ni uchafu....anaona ni jambo la kujivunia......,,,!!??
 
Back
Top Bottom