Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

Dah ww hufaham tatizo ni nn Pengine yy anajua muulize tu kunani sometimes stress....Jaribu pia mkirud mkoani Pengine joto limemkataa
 
Hapana nipo 20's siyo exact 20 years sijui kama umeelewa

Kama huyu ndiyo wewe kweli hakutendei haki unapashwa kupigwa show ya Masaa mawili au matatu Aisee
 

Attachments

  • 465808.jpg
    465808.jpg
    5.8 KB · Views: 31
Jifunze kuridhika, la cvyo hutokuja kuridhika kimapenzi kamweeeee....

Stor za vijiweni zinawasumbua sana wanawake yani eti .wanaume lijali lazma apge bao 6, uongo mtupu....stor stor zimewaalibu sana vijana kisaikolojia
 
Kama huyu ndiyo wewe kweli hakutendei haki unapashwa kupigwa show ya Masaa mawili au matatu Aisee
Kaka kunatofauti kati ya urembo, uzuri na utamu wa kufanya mapenzi.....
Demu anaweza akawa mzur lakin asivuutie kimapenzi utamu hakuna....demu linaweza kuwa likurunyembe lakini litamu balaaa
 
Heko kwa wanaume wote wanaopanda juu ya kifua dk 60 bila kukohoa wala kuomba Samahani za simu

Joto labda linachangiq tuliopo mikoani tunafaidi kweli kweli Fanya tu uhamir mikoani
wa kwako yeye anaishia dakika ngapi mpendwa
 
Kaka kunatofauti kati ya urembo, uzuri na utamu wa kufanya mapenzi.....
Demu anaweza akawa mzur lakin asivuutie kimapenzi utamu hakuna....demu linaweza kuwa likurunyembe lakini litamu balaaa
Madada mwenyewe amesema kabla hawjahamia huko Dar Jamaa alikuwa anafukunyua tundu mapa goli sita hadi masaa kumi sasa kwa hiyo toka mwanzo inawezekana alikuwa mtamu tuuu
 
Zinafautiana lakin May be mwenzio anaelea akizama may be ukitak uprove tupe nafas tukudisplay utapata solutions
 
Kaka kunatofauti kati ya urembo, uzuri na utamu wa kufanya mapenzi.....
Demu anaweza akawa mzur lakin asivuutie kimapenzi utamu hakuna....demu linaweza kuwa likurunyembe lakini litamu balaaa
Kama ndo hvo hajiandae kuwa malaya tu
 
We sema tu unalalamika tu hupati pesa ya matumiz kuhusu mapenzi cna uhakika... Sasa yeye yupo chuo na ww pia akuachie hela ya matumizi ye anatoa wapi mpaka akupe ww... Nkuulize kitu we kunasiku uliyowahi kumpa hela ya matumizi pumbaffffff.... Nyie mabint acheni kuwa wauaji nyie we unaona vyuma vimekaza hivi alaf unalalamika hupati hufuma kwan amekuoa au unakaanae hapo we kama umepanga ujue unajiweza dada jihufumie mwenyewe...
 
Unataka kusuguliwa sana kwani mnataka kugundua gold humo kwenye mgegedano?
 
Habari za weekend wakuu?

Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole,

Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri. Yes. Sihitaji kuwachosha wacha niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B.

Kwa sasa niko chuo fulani (jina kapuni)hapa Dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga. Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapuni )lakini yeye yupo hostel za chuo na sasa toka tumefika hapa Dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu.

Basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu kwamba
huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye.

01.MAPENZI
Hili ndio kubwa zaidi yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo, yaani anakuwa na hamu kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudinda tena ananiacha na hamu kibao.

Huyu bwana hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60. Tumejaribu kutafuta shuluhu lakini zimegonga mwamba, mara pweza wapi.Naamini wale watu wazima wameelewa hapa.

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo.


Na hisi number 2 ndo issue kubwa, sema unajazia ya ya kwanza
 
Back
Top Bottom