Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

Heko kwa wanaume wote wanaopanda juu ya kifua dk 60 bila kukohoa wala kuomba Samahani za simu

Joto labda linachangiq tuliopo mikoani tunafaidi kweli kweli Fanya tu uhamir mikoani
Dah hamna raha ya kusex, joto linalegeza sana mwili na mishipa ya ub.
 
Mh! Ujana huu ni kazi. Kwanza huyo ni kijana mwenzio hivyo mvumilie ndo mapungufu yake katika mapenzi. Lakini hebu nikuulize unahakikisha anakula vizuri vyenye kuongeza afya ya hiyo ? Maana lishe ni namba moja.
Upande wa matumizi ni kuwa ushasema ni mwanachuo mwenzako hivyo sidhani kama ni sahihi kukuhudumia maana na yeye a nahitaji kuhudumiwa mpka apate kazi. Watu mameolewa na matumizi wakati mwingine hawapewi.
Pili je amekuoa mpka akupe matumizi? Binafsi siwezi kuhudumia mwanamke kama si mke wangu labda niamue tu kumsaidia. Bahili kweli kweli hapo. So ukitaka akuhudumie na iwe lazima basi akuoe ndo utapata hizo haki.
ILA wapo wanaohudumia hata kama si MTU wake.
Hivyo we mvumilie tu usichoke labda kama ushapata mwingine.
 
Kaeni pamoja,mzungumze ndo maisha yalivyo.Masuala ya mahusiano/ndoa yanajengwa na wawili.Vinginevyo, uwe ulishafanya maamuzi yako ya nini ukifanye,hapo sawa.
 
Hii imenishangaza

wote mnasoma chuo (wanafunzi) ila wewe ulalamika upewi hela ya matumizi na uyò mpenzi wako (mwanaume wa mkoani)

Hii ndo Dar karibuni
hahaaa wanawake bhana ..sasa cjui anataka mwenzie akaibe...wakati anajua kuwa mwenzie hana kazi
 
UMEANZA NGONO UKIWA NA MIAKA 13..... KIKUBWA AMESHAKUCHOKA AMEKUTANA NA WALE WANATEMBEA BILA CHUPI YAANI VIUNGO VYAO VIPO WAZI KWA HIYO MPAKA AKIFIKA KWAKO AMESHAKOJOA NJIANI KWENYE BOXER ZAIDI YA MARA NYINGI DAR IONE HIVYO HIVYO YAANI WATOTO WA KIKE WANAKUWA UCHI MUDA MWINGI SASA KWA MTOKA MKOANI AMBAYE HAJAWAHI KUONA HATA UPAJA WA DEMU UNADHANI SI ATAKUWA ANASEX KILA MUDA
hahaaaaa
 
Uhudumiwe, kwani we yatima?
Afu ushaona wapi aliyeshinda kura za mfano ubunge, akaenda kulala tena misibani na kuhonga?
 
Pole sana kwa kutaka matumizi,hivi si wote mnasoma chuo au anafanya kazi?au mfanyabiashara mkubwa?muwe na huruma na watoto wa kiume kina dada,loh mpo kimaslahi zaidi kuliko penzi,kwa kupiga hao moja hilo ni jambo la kusadikika huwezi juwa,feeling za maisha,stress,kuchoka,kuzipiga sana papuchi mbali mbali,kuchokwa na papuchi yako,au papuchi yako imekuwa na dosari.
 
Yaan unaletewa zawadi na bado unalalama je, na wenzio wanaokopwa kila siku wasemeje!?
 
Habari za weekend wakuu?

Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole,

Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri. Yes. Sihitaji kuwachosha wacha niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B.

Kwa sasa niko chuo fulani (jina kapuni)hapa Dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga. Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapuni )lakini yeye yupo hostel za chuo na sasa toka tumefika hapa Dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu.

Basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu kwamba
huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye.

01.MAPENZI
Hili ndio kubwa zaidi yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo, yaani anakuwa na hamu kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudinda tena ananiacha na hamu kibao.

Huyu bwana hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60. Tumejaribu kutafuta shuluhu lakini zimegonga mwamba, mara pweza wapi.Naamini wale watu wazima wameelewa hapa.

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo.
Show huez, haya basi toa hela napo mbahili bora basi ungekuwa handsome napo hamna kitu heeee! Usaidiweje sasa?
Kuna mwingine alileta Uzi wenye maneno hayo juu.
Ukiwa unahitaj matumizi mwambie.
 
Duuuhhh . Mama ,,kwaiyo shida ni Mapenzi yaan Mashine .

Na matumizi ........

Unajua ulipokua sekondar matumizi yako yalikua madogo ,, saizi upo chuo naumepanga Matumizi yako nimakubwa alafu mwenzako ndo kwanza mwaka wa kwanza naunaona anakaa hostel ,, Maisha ya Dar kwa mwanafunzi km huna mahali unapowezeshwa LAZIMA yawe mzigo kwako ,, sasa sembuse uwe namtu ?????.

Nanisababu ya kukosekana kwa pesa , mawazo kwa ndugu yetu yamekua mengi ,, +kitabu+ kutaka kuonjamo karadha kapya Ka chuo , obviously hamu naww lazima ipungue ...en since sexy begin from mind hamna kitu tena hapo.

Muhimu ,nikuongea naye jamaa kinaga ubaga ,, Mpe muda ,, mfanye ajihisi comfortable ,, utafurahia km awali,, lkn kwenye Pesa vyuma vimekaza mama ,mvumilie ,anachopata kipokeee nauseme asante.
Well said
 
Sasa bibie wote nyie si mpo chuo, bado unataka kumkamua mwenzio, hiv nyie mapenzi mnayachukulia vipi hasa, ndio kubebeshana misalaba, vyuma vimekaza hivi bibie, kama kweli alikuwa anakuhudumia mwanzo means sasa hivi mambo yake si mazuri..

Turud kwenye mambo ya kwichi kwichi, jichunguze na wewe isijekuwa ndio unamfanya aboreke anapokuwa kwa bed.. either mahanjumati huna kunako kwa bed, either mchafu, papuchi inatema, au papuchi ni bwawa, unategemea alikoge bwawa kweli..

Yote kwa yote jifunze kitu kimoja, kwenye mapenzi mawasiliano ni silaha kubwa mnoo, usiwe mwepesi wa kukurupuka na kulalama ili uonewe huruma, utaishia kutombwa tombwa hovyo ndugu yangu, umeona kuna hitililafu kaa chini mueleze mwenzio yote yanayokusibu na sio kukimbilia kuomba ushaur wakat we hujachukua hatua yoyote..
Haya rudi uzungumze nae ikishindikana ndio ututafute kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom