4rever young
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 136
- 125
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,
Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI