Mpenzi wangu hana mambo kabsa chumbani

Kama una malengo nae mfundishe, ama mwelekeze nini cha kufanya. Ulishajaribu kumfundisha akakataa???
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,

Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
 
Wewe ndo mwenyemakosa ipo hivi ulitakiwa wewe ndo umfundishe taratibu tu mwisho wake ataelewa na kingine kabla ya ku sex mfanye kwanza awe huru na wewe .wanawake wengi huwa wana aibu hata kama kakuzoea vipi.
 
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,

Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Nakuusia pamoja na kuihusia nafsi yangu kuacha zinaa
 
Swali lako ni too general...
1. Wewe unategemea yeye afanye nini?
2. Style gani mnafanya. Ina maana hata wewe ukiwa chini, akakalia juu bado anaendelea kutulia tu...
3. How confortable and secure is she to you?
4. Umewahi kuongea naye kuhusu hilo na responce yake ilikuwaje?

Mambo mengi, muda hautoshi.
 
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,

Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Tuko wengi boss.. Demu wangu ivo ivo.. .. Inabidi nianze kumtraini anaonekana siyo mzoefu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom