Mpenzi wangu haamini yuko mwenyewe

Mpenzi wangu haamini yuko mwenyewe

Una miaka mingapi hahaaaaaa kama 23 kushuka ni halali kutuhadithia hutu tu vitu wanaume huwajui eeeeeeh skikufanyaaaaa weeeeh.akikuchoka utayajua mapungufu yako saizi wewe ni Malaika
 
Edit hio sehem ya dini..

Nachukia watu wafanye machafu kwa mgongo wa dini,,mnatudhalilisha sisi wachache tunaojistiri na kujiweka mbali na maasi...

Uzuri wako uhifadhi kwa ajili ya mumeo.
Aiseeee
 
Sio yaishe fafanua ulichokiandika
Kuna ile hali badhi ya wasichana wanapenda kucheka zaidi ya inavyo stahili. Ama unakuwa na pimples au anxiety. Nilisha wahi kwenda kwa dactari akasema mpaka umri fulani itaisha.. Zaidi dawa za hormonal balance zinakausha sana ngozi wanatumiaga sience freaks. Pia ni ghali tz.
Dawa ya haraka lakini muda mfupi ni Sex.
*Sipendi kuwaa haribu wanao mpenda Mungu.*
 
Sijakuelewa mkuu
Napenda kumtania Bashite..
30225ecf7311bec316ee93cf3260edf9.jpg
 
Hi guys,

Rafiki yangu anafikiri siwezi kuwa na yeye tuu. Hasa ninapofanya vizuri kwenye 6*6
amenifanya nikapime. Ana truck muda wangu. Huwa anasaema 'Oh my God..such a beatifull girl like you. It cant be...'Ata nimemuonesha mimi ni wadini.. Haelewi..

Sijui nifanyaje..
3c45f60ed505509f3a6b8739e03aa8a4.jpg
Story yako nimeipenda mana inaonekana uu mgen Wa mapenz mana mwanaume yeyote utakayekidh viwango vyake na ukawa vizur kitandani ataitaji kukusifia na kuona labda kuna mwingine anapata vitu unavyompa, kuhusu kukkubana huo ni wivu kwa wanaume kwa MTU anayempenda au yawezekana hakuppend kakutaman tuu na asingependa kushare penz na mwingine, pia swala lakuzunhumzia din kama silaha kwa mpenz wako et umeshika din liondoe halina mantink hapo tabia ya MTU ni individual, wangap wanavaa mabaibui waislamu safi ila ni wahuni balaa, au wangap wakristu walokole Giza likingia wanafanya mambo ya ajabu, mwanaume anayejitambua hawez kimwamin mwanamke kisa kashika din ila nikufuatilia tabia yako,kama anakupenda kweli safar njema, kama anakupa maneno mazur aendelee kukutumia itakua pole
 
Ungekuwa mzuri hivyo ungejua na kuandika sentensi za kueleweka
 
Aisee kwa hiyo story nimetoka kappa...embu ijazie nyama kidogo nijue jinsi ya kukushauri bibie
 
Kazoea kuumizwa!!! Mpe mda aone uaminifu wako ila Sasa ndo usije ukamsaliti baadae... Utamvunja moyo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom