Mpenzi wangu anikacha, aolewa na mzee

Mpenzi wangu anikacha, aolewa na mzee

Tatizo la VIJANA mkisha GEGEDA mnakimbilia KUCHAT NA SIMU hapo kitandani,, huna habari tena na MSICHANA,,,hata ASANTE MPENZI HUTOI....,,,wakati MZEE hata kama kamaliza kugegeda bado KAMKUMBATIA mtoto,,MABUSU NA SHUKRANI JUU .....na pesa atapewa....
kwelii asee
 
Ni kweli kabisaa!unamkuta yupo busy anachat!
 
Habari wakuu,

Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yet.

Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu.

Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye sana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimiss tu.

Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu.

Kiukweli wasichana wetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
Atamwua huyo mzee siyo muda ili amiliki mali za mzee hujajua hesabu zake. Lengo hapo ni urithi tuu hakuna kingine mzee miaka mitano akimaliza anabahati.
 
Habari wakuu,

Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yet.

Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu.

Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye sana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimiss tu.

Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu.

Kiukweli wasichana wetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
Pole sana mkuu
ulisoma chuo gani na umemaliza mwaka gani kozi ipi
 
Umetoa ukweli mtupu mkuu

Ila tulikuwa tumependana, kuaminiana na kuvumiliana sana pia tuliahidiana mambo mengi ikiwemo ndoa,
Nimekubali ndio hivyo natafuta mwingine naamini nitapata tu
Inshallah,ila nnaimani utakua umepata fundisho kutoka kwenye hili sasa kua mtu mwenye mamuzi usisubirie miaka m5 ndio ufanye mamuzi..
 
Back
Top Bottom