Miaka minne yote niliyokuwa naye tangu chuo hayo yote hayakuepo au chips ndio zmekuja kipindi hikiAcha waje kwetu kwakuwa sisi twajali sana, hao vijana wenu chips yai hawawezi hata kufungua chupa ya maji ya kilimanjaro au wavivu hata kukwangua vocha ya simu.
Heri yangu mimi sina akili, kuliko wewe mwenye akili kuzidiwa kete na kibabu.Huna akili
Hii ndo ktu ambayo inananifanya niwe na malengo ya kuoa lakn sijaandaa wa kumuoa mpaka ntakapo kuwa tayari ndo natafutaHabari wakuu
Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yetu
Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu
Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye saana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimis tu
Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu
Kiukweli madem zetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.
Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
Kwahiyo we ulitaka umchezee tuuuu, wakati hata hela ya pedi humpi? mwenzio nae anatamani kwenda vakasheni Dubai na Uturuki wewe hata Bagamoyo hujawahi mpeleka.Miaka minne yote niliyokuwa naye tangu chuo hayo yote hayakuepo au chips ndio zmekuja kipindi hiki
Pengine,..lakini sina uhakika na hilo.Haha pale unapo zungumza kwa experience
ni kawaida tuu...Pengine,..lakini sina uhakika na hilo.
Mabeni Teni tunaonewa na wazee wa pesheniHabari wakuu
Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yetu
Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu
Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye saana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimis tu
Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu
Kiukweli madem zetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.
Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
I knowni kawaida tuu...
...hahahaa nimecheka!!I know...
Mkuu pole sana ila unajua kuna wanawake wengine wanajitambua,huyo mdada kama kukusubiria amekusubiri sanaaaaa,ivi tangu chuo uko nae ulishindwa hata kumvalisha pete ya uchumba? ulikua una dhani yupo tuuu na unataka akustahmilie mpaka lini dalili ipi ulomuonyesha kua nataka uwe mke wangu?Habari wakuu
Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yetu
Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu
Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye saana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimis tu
Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu
Kiukweli madem zetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.
Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
Habari wakuu,
Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yet.
Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu.
Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye sana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimiss tu.
Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu.
Kiukweli wasichana wetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
Umetoa ukweli mtupu mkuuMkuu pole sana ila unajua kuna wanawake wengine wanajitambua,huyo mdada kama kukusubiria amekusubiri sanaaaaa,ivi tangu chuo uko nae ulishindwa hata kumvalisha pete ya uchumba? ulikua una dhani yupo tuuu na unataka akustahmilie mpaka lini dalili ipi ulomuonyesha kua nataka uwe mke wangu?
muache akastiriwe,huyo unaemuona mbaba ameweza kufanya maamuzi wewe kijana umeshindwa,nini amekosa kwako?
ivi ulisha wahi kumuliza nini nikufanyie ufurahi zaidi au ulifikiria kua umemkoleza kapagawa?
mkuu muombe kheir awe na ndoa ya kheir na wazee ndio wanajua ku enziii wanajua nini mpenzi wake anataka kusikia na wakati gani utajua haya na wewe ukiwa mzee, kila la kheir inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye..