Mpenzi wangu anikacha, aolewa na mzee

Mpenzi wangu anikacha, aolewa na mzee

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
Habari wakuu,

Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa hot na kuaidiana ndoa baina yet.

Kwa sasa mambo yamekuwa tofauti, hali si hali kwa upande wangu.

Mbaba mtu mzima na makunyanzi ya uzee kanipiga bao kwa huyu kimwana wangu niliyependana naye sana, sijui nini kakikosa kwangu mpaka kuolewa na mzee angalau angechukuliwa hata na kijana mwenzangu ningemtakia kila la kheri huko alikokimbilia, lakini kwa sasa kwa huyo mzee hakika atanimiss tu.

Au kusugua bench tukisubiri ajira za awamu ya tano ndio sababu pesa hakuna tunachelewa kuoa mpaka wazee wanatuchukua vitu zetu muhimu.

Kiukweli wasichana wetu mpunguze tamaa, sie vijana ni waoaji wa kweli na wenye mapenzi.Tuvumilieni kipindi hiki cha mpito vyuma vimekaza lakini penzi tunawapa.
 
Tatizo la VIJANA mkisha GEGEDA mnakimbilia KUCHAT NA SIMU hapo kitandani,, huna habari tena na MSICHANA,,,hata ASANTE MPENZI HUTOI....,,,wakati MZEE hata kama kamaliza kugegeda bado KAMKUMBATIA mtoto,,MABUSU NA SHUKRANI JUU .....na pesa atapewa....
 
Pole sana mkuu, nadhani Leo haukupata usingizi ,
Hao wadudu wapo wengi mno tafuta pesa tu watakuja
 
Kwa huu usawa... Shukuru... Kwa kupunguziwa matatizo.. Baada ya muda maumivu yataisha na utapata chombo kipya na kitamu zaidi na tena ili kumkomoa kachukue best ake..
 
Me sina neno mkuu zaidi ya pole na tafuta pesa...baaasi.
Ingawa na nyinyi hamtabiriki ukipata ki ajira chako mbuzi baaaasiiii mnavyoringaa mpaka mnaboa kwa ulimbukeni....
 
Me sina neno mkuu zaidi ya pole na tafuta pesa...baaasi.
Ingawa na nyinyi hamtabiriki ukipata ki ajira chako mbuzi baaaasiiii mnavyoringaa mpaka mnaboa kwa ulimbukeni....
Haha pale unapo zungumza kwa experience
 
Me sina neno mkuu zaidi ya pole na tafuta pesa...baaasi.
Ingawa na nyinyi hamtabiriki ukipata ki ajira chako mbuzi baaaasiiii mnavyoringaa mpaka mnaboa kwa ulimbukeni....
Ni kweli mkuu
Kwa upande wetu sisi tulikuwa tunasubiri ajir wote
 
Afadhali huyo amekuolea huku mtaani kwetu wazee wanatugongea mdem zetu kipindi hiki vyuma vimekaza
 
Kwanza mshukuru sana Mungu kwamba amekuepusha gume gume ama gold digger je ingekua ushafunga ndoa ingekuwaje ? Si ndo angekuletea na ukimwi juu..mana haujui huyo mzee kashaona wangapi vibinti kama huyo x wako.
Mi nafikri ndo jambo la kwanza kufanya
Halafu endelea na mambo yako ya kutafuta maisha,,hutaweza pata mwanamke ambaye ni perfect kwa asilimia zote but utapata alie bora zaidi lakini muhimu angalia je ana hofu ya Mungu?
Usijali a good woman will come your way just pray to God to give you one.
 
Tatizo la VIJANA mkisha GEGEDA mnakimbilia KUCHAT NA SIMU hapo kitandani,, huna habari tena na MSICHANA,,,hata ASANTE MPENZI HUTOI....,,,wakati MZEE hata kama kamaliza kugegeda bado KAMKUMBATIA mtoto,,MABUSU NA SHUKRANI JUU .....na pesa atapewa....
Unawezaa asikupee hata ahsante na hayo mabusuu..!! Ilaa PESAAAAAAAAA hiloo tuuu ndo huwa linawafanya mnakuwa wehuuuu...kilaa nkitumbukiza nkupe pesaa...aisee kaolewe tu na nalibabu hiloo afuu uonee sasa kama utakuwe wew peke akoo kama wew tu ndo unapendaa helaaa...
 
Dah kumegewa na kibabu unabid ujiuulize nnhapo tatizo ili lisije jirudia
Acha waje kwetu kwakuwa sisi twajali sana, hao vijana wenu chips yai hawawezi hata kufungua chupa ya maji ya kilimanjaro au wavivu hata kukwangua vocha ya simu.
 
Back
Top Bottom