Mpenzi wangu anavaa nguo zangu

Mpenzi wangu anavaa nguo zangu

By the time mchepuko unakuja mpk home unavaa hzo nguo zako muda huo wife wako yuko wap?
Matatizo km haya ni ya kujitakia
Nimejiuliza swali kama lako. Huyu jamaa topiki zake karibu zote ni chai tu. Jana sijui juzi amekuja na topiki kuna demu bonge kamtembelea leo mchepuko amevaa nguo zake. Watoto wa form six wameshamaliza shule wanasubiria majibu tutakoma humu na maujinga ujinga
 
Mchepuko unakutembeleaje, na unapataje muda wa kupiga misele mtaa kwa mtaa?
 
Atakuwa tomboy huyo ,kuwa makini mki do bana kalio maana anaweza kukupima oil kwa mattercall.
 
Back
Top Bottom