Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,614
- 65,077
Mchepuko wangu (pisi kali), amekuwa na tabia ya kuvaa nguo zangu pale anaponitembelea. Atavaa mashati yangu yale mazuri mazuri ya draft, na kupiga nayo misele mtaa kwa mtaa.
Akiwa nyumbani, anavaa boxa zangu; mpaka zingine zimeharibika kwa kutanuka kwa ukubwa.
Nimeshindwa kumwambia chochote zaidi ya kumtazama tu.
Nikahisi labda kwa sababu anaujauzito mchanga, ndio unampa hiyo hali.
Je, ni sahihi anavyovaa nguo zangu?