Mpenzi wangu anatongozwa sana!

hopetumaini

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
529
Reaction score
318
Habari wakuu, bila kuchelewa niende kwenye tatizo ninalopata.

Nina mpenzi wangu, tuna mwaka na nusu kwenye uhusiano wetu. Tumekutana katika chuo kikubwa jiji la mtoto wa kolomije, wote tukiongeza elimu ya juu.
Ananipenda sana,ukizingatia Mimi ndio niliyembikili (ni nadra sana kukutana na binti bikra chuoni). Mtoto ni mchanganyiko wa kinyarwanda na kisukuma, kwa ufupi amekamilika kila idara.

Tatizo nalikutana nalo anatongozwa sana yaani mpaka kero, kila wiki lazima aje anieleze, mara flani ananisumbua mara kunajamaa kanisani ananisumbua,wengine nawajua wengine siwajui. Mara nyingi namshauri awajibu vibaya lakini naona wanaendelea tuu.

Naomba ushauri wakuu,nataka kupata mbinu za kijasusi kuwaadabisha wote wanaosumbua kipenzi changu.
Angalizo nimepanga kumuoa mwaka 2019 kama mungu akipenda.

Nawasilisha wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 

Siku ukiona hakupi habari za kutongozwa basi ujue tayari
 
Mkuu hizo mbinu za kijasusi zipi usije ukaua mkuu.
 
Nachoamin siku zote Mwanamke akitongozwa na wanaume labda 50 hawez kuwakatalia wote...inawezekana idadi waliomtongoza had sasa ni 40 ila wakifikia 50 lazima akusaliti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…