Sioni tatizo kubwa hapa na tena ni bora umemweka kwenye mazingira ya kukuambia, yaani huna gubu... Mara unapoambiwa wanaomtongoza mshauri kama mwanaume ili atumie busara kuwaambia gari imejaa... Tena mwakati mwingine utabaini hata hila chafu zinazopangwa na mwanaume kumdanganya... Nakumbuka ujanani niliwahi solve mbinu ya kilaghai jamaa alikuwa anadate na rafiki wa girl wangu ambaye ni muke sasa... Jamaa akagombana na girl wake ila akawa anampigia wangu eti waonane waongelee ugomvi wa rafikiye, nilipofikiri kiume nikajua hili tego nikamwambia amzingue nafasi haipo siku niko naye 9t kali anapiga simu kulialia kwamba moyo unamuuma anaomba kesho waonane amshauri ndipo nikamtolea uvivu hadi leo heshima ipo... Good thing walijarudiana baada ya yule demu kutemwa na HB wake na ni mkewe sasa....