Mpenzi wangu anasema hawezi kuolewa bila harusi

Mpenzi wangu anasema hawezi kuolewa bila harusi

Eti tukio la mara moja! Yani wanadhani mbwembwe na upuuzi wa harusi ndiyo ndoa.Watasubiri sn.
 
Mie mwenyewe nataka ku make a difference kufanya shughuli ya mamilioni ya fedha sio jambo lililoko kichwani mwangu...Zaidi ya kulipa mahali na kutafta cheti cha ndoa tutajitia kwenye apartment yetu sherehe ndio majaaliwa hio!
 
Huyo Dada yuko sahihi kabisa mfanye sherehe kabisa tendo hilo hutokeaa mara moja maishani. Sasa kwanini muishi bila kuhalalisha ndoa

Hujaelewa topic sweetheart. Kuhalalisha hata kanisani au msikitini inatosha. Tatizo ni baada ya hapo kuna haja ya kufanya sherehe kubwa watu wakala na kunywa kwa gharama kubwa tu??
 
Hujaelewa topic sweetheart. Kuhalalisha hata kanisani au msikitini inatosha. Tatizo ni baada ya hapo kuna haja ya kufanya sherehe kubwa watu wakala na kunywa kwa gharama kubwa tu??
Nimeelewa sana topic jamaa anataka kuingiza ndani kimya bila hata kanisani kukwepa gharama basi. Haja ya party muhimu tu sherehe kubwa nyingine huwa kwenye musiba sasa kina ugumu gani
 
Harusi sio lazima muhimu zaidi ni ndoa ni wqngapi wanafunga harusi za bei gali baada ya honeymoon wanaachana?

Kama hujajipanga usifanye hivo.

Muhimu ni ndoa sio harusi

Muhimu kwa nani?
 
Ndugu zangu wanajamiiF,

Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana atakaye muoa kwa harusi.

Naombeni ushauri wenu
Hajui ndoa ni nini huyo hafai anataka kujionesha kwa wenzie atajuta baada ya muda kuwa umeenda hali jojo
 
Tatizo uwezo wa kifedha au dhamira?mleta mada naomba jibu ili nijue jins ya kuchangia mada hii
 
Sasa wewe kama unampenda na uko tayari kumuoa hutaki kufunda ndoa ili iweje sasa? huna uwezo au hutaki tuu? just expln

jamaa hataki harusi sio ndoa,.lowasa ingia madarakani kile kipaumbele chako cha elimu elimu elimu kitawasaidia sana watu
 
Huyo akufai, mwambie akamtafute wa kumuoa kwa harusi.

Wewe tafuta kajamba nani mwenzako.
 
Huyo hakupendi wewe, anataka harusi, mbona unakuwa mgumu kuliona hilo? Mwanamke anaekupenda hawezi kuzungumza upuuzi kama huo!
 
Mkuu....kwa jinsi nilivyoelewa mimi, huyo mwenzi wako anataka umuoe kwa ndoa yenye sherehe na si HARUSI.

HARUSI = BIKIRA

SHELA JEUPE = Ishara ya USAFI/UBIKIRA

Hha sikuizi hata waliozaa wanavyaa shela ...
Halina thamani tena kama ilivyokua zamani
 
jamaa hataki harusi sio ndoa,.lowasa ingia madarakani kile kipaumbele chako cha elimu elimu elimu kitawasaidia sana watu

Kumbe wewe ni lofa sio? mbumbumbu kizeee....wewe soma vizuri uzi wake ndo umuelewe kama hujui kusoma mtafute mamako akusaidie kusoma. then huyo kizee cha mvi kuwa rais tc impossible labda rais wako
 
Nimeelewa sana topic jamaa anataka kuingiza ndani kimya bila hata kanisani kukwepa gharama basi. Haja ya party muhimu tu sherehe kubwa nyingine huwa kwenye musiba sasa kina ugumu gani

Sio hivyo my love.
Kasema mdada hawezi kuolewa (ndoa) bila ya harusi (sherehe). Jamaa yuko tayari kwa ndoa (kanisani/msikitini) ila hayuko tayari kwa harusi (sherehe).

Sasa demu anataka vyote. Ndio issue ilivyo sweetheart wa mie.
 
Huyo Dada Amekuzid Akili, Na Kama Hutaki Kufuata Mawazo Yake, Ni Vema Uachane Maana Utamwaribia Future. Ww Unataka Ndoa Ya Kutungua!! Kama Mchungaj Nasema Achana Na Huyo Dada, Mtu Ambaye Hapendi Mungu Ni Wa Ibilisi

Amen nalo neno jaman
 
Back
Top Bottom