Mpenzi wangu anasema hawezi kuolewa bila harusi

Olaph.uk

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Ndugu zangu wanajamiiF,

Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana atakaye muoa kwa harusi.

Naombeni ushauri wenu
 
Harusi ni tukio jema sana na la kihistoria katika maisha ya ndoa, Kama upo na uwezo wa kufanya hivyo na wewe umemchagua huyo kuwa mwandani wa kufa na kuzikana ni ushauri mzuri. Na kwanini sasa bi harusi anasema anaomba Mungu ampe Bwana atakaye muoa kwa harusi na tayar Bwana ushapatikana?
 
Bwana kapatikana lakini ndo ivyo hataki Harusi

Mle TIGO
 
Mkuu....kwa jinsi nilivyoelewa mimi, huyo mwenzi wako anataka umuoe kwa ndoa yenye sherehe na si HARUSI.

HARUSI = BIKIRA

SHELA JEUPE = Ishara ya USAFI/UBIKIRA
 
Harusi sio lazima muhimu zaidi ni ndoa ni wqngapi wanafunga harusi za bei gali baada ya honeymoon wanaachana?

Kama hujajipanga usifanye hivo.

Muhimu ni ndoa sio harusi
 
Kipi hujakielewa sasa? Na wewe kwa n i ni hutaki kufunga naye ndoa? Unamwoa kama mchepuko si kumdhalilisha huko? Kwa nini unakwepa kuweka mkataba kamili hadharani?

Bila shaka yuko juu sana kimaadili na ni mwadilifu na mkweli kuliko wewe na hivyo you are not for her. Tafuta mbabaishaji mwenzako.
 
Muruhusu azunguke kwanza aone km atampata wakutekeleza hoja yake.
 
Ndugu zangu wanajamiiF,

Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana atakaye muoa kwa harusi.

Naombeni ushauri wenu

anatafuta bwana atakayemuoa kwa harusi. kwani wewe umejipangaje mbona unalia lia
 
Ukimuuliza Hapo hana cha maana na anachokitaka Yeye kuwarusha roho Mashoga zake
 
Harusi ni tukio jema sana na la kihistoria katika maisha ya ndoa, Kama upo na uwezo wa kufanya hivyo na wewe umemchagua huyo kuwa mwandani wa kufa na kuzikana ni ushauri mzuri. Na kwanini sasa bi harusi anasema anaomba Mungu ampe Bwana atakaye muoa kwa harusi na tayar Bwana ushapatikana?

Huyo Dada Amekuzid Akili, Na Kama Hutaki Kufuata Mawazo Yake, Ni Vema Uachane Maana Utamwaribia Future. Ww Unataka Ndoa Ya Kutungua!! Kama Mchungaj Nasema Achana Na Huyo Dada, Mtu Ambaye Hapendi Mungu Ni Wa Ibilisi
 
Back
Top Bottom