Mpenzi wangu anapenda sana pesa

Hakuna mke hapo brazaa!!
 
Mkuu kama huna pesa zitafute kwanza kuliko kuja hapa kulia lia asipende pesa mchezo pesa ndo kila kitu hata ww hakupendi ila anapenda pesa zako unazompa ili akidhi mahitaji yake kosa pesa uone kama utakuwa nae.. Hakuna asiependa pesa mkuu
 
Huyu dada wala hapendi pesa sana wala nini. Ila hapendi kuliwa bure. Angependa pesa ungechunwa kipindi cha ujauzito maana hapo she had all the rights.

Wewe umerudisha majeshi hlf unataka dezo dezo. Anakujua na anakukomoa.
 
Alinitega ofcourse ni mzuri kidizain na kutokana na kuwa na lifestyle la kishua by then mimi nimechoka nikaona kama zali la mentali kumpata.

Hapa ndipo kosa lako lilipo, hiyo life style yake ilikuwa ni ishara tosha kujua utadeal na mtu wa aina gani, ulipaswa kujua hiyo classy life style ni real au fake. Hii ingekusaidia kujua kama huo ni mtego ambao huko mbeleni utahitajika kulipa au lah.
Wanaume tukipendwa na wanawake wakati mwingine tunakuwa vipofu na wajinga, tunafikiria ni zari tu, tujipe homework ya kuutafakari huo upendo.
"Hakuna kupendwa kirahisi rahisi tu"
 
Yamenikuta mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada wala hapendi pesa sana wala nini. Ila hapendi kuliwa bure. Angependa pesa ungechunwa kipindi cha ujauzito maana hapo she had all the rights.

Wewe umerudisha majeshi hlf unataka dezo dezo. Anakujua na anakukomoa.
Kuna mapenzi ya kweli kweli hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akusaidie kwenye kipind chako hicho ili uweze kutenda jambo jema tafakali then chukua hatua dhid yake ujue unafanya nn na yy kama bado habdiliki waine wazee kwa msaada zaid mkuu.
 
We mkomoe tu kwa kumpa pesa nyingi, zitamkinai fasta... tatizo lako unampa kidogo kidogo zinamwachia hamu.
 
Wewe unaonaje??? [emoji13][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…