Mpenzi wangu anapenda sana pesa

Jiulize kwanini akufiche Mimba!!??? Yaani unakuja kujua mtoto kashajifungua? Nina hakika huyo mtoto huenda sio wako kwa 98%
 
dogo kubwa,
Mambo kama hayo hayana ushauri, wewe uliingia kichwakichwa ukadhani umefika mwenzio alikuwa na longterm plan sasa pambana kumrekebisha tabia kama vipi muowe ili muishi pamoja na ndugu zake wapambane na hali zao
 
Hapo obvious huyo mtoto sio wa mleta mada,kwa ufupi jamaa anadangwa tu bila yeye mwenyewe kujua hamna kingine.

Naungana na jamaa hapo juu kwamba hii ni Chai na kama sio chai basi mleta mada akili zake zinatia mashaka.
Jiulize kwanini akufiche Mimba!!??? Yaani unakuja kujua mtoto kashajifungua? Nina hakika huyo mtoto huenda sio wako kwa 98%
 
mwanamke akishajua unatoa pesa kirahisi hujenga mazoea hayo, hivo kua makini na ubadili mwelekeo akitaka afuate asipotaka aache
 
Makosa ya kiufundi yalianzia hapa ulipompa mtaji ndipo ulipo haribu mkuu [emoji848] [emoji848][emoji125] Cha msingi piga chini huyoo Kaka atakusumbua mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh bila shaka huo ni mkopo sijawahi kuona fake life kama hiyo ushauri kabla hujamuacha mwambie ukweli na kama atapingana na wewe basi fanya mkopo uishie hapo
 
dogo kubwa,
Mambo kama hayo hayana ushauri, wewe uliingia kichwakichwa ukadhani umefika mwenzio alikuwa na longterm plan sasa pambana kumrekebisha tabia kama vipi muowe ili muishi pamoja na ndugu zake wapambane na hali zao
you are right mkuu,
 
Jiulize kwanini akufiche Mimba!!??? Yaani unakuja kujua mtoto kashajifungua? Nina hakika huyo mtoto huenda sio wako kwa 98%
thanks kwa ushauri mkuu, but huyu sio wa kuoa aisee, anapenda kufananisha maisha ya marafiki zake na yeye, so akisikia raafiki yake kapewa hiki na mpenzi wake, yeye anapanic lawama kwangu kama zote, than kwake kufanya kazi anaona hastahili, anastahili apewe kila kitu na mimi, ye ashinde amelala, while hata mama yangu mzazi mpaka leo anafight bado, then mtoto akiugua ananilalamikia kinoma as if anateseka na mtoto peke yake, kimbembe kinakuja nikimuuliza zile MILION 2 za mtaji mahesabu yako wapi, anasema kwanini naumizwa na hela iliyoliwa na yeyey na mwanangu, anasaema nikiulizia hela ni dalili kuwa simpendi, but makubaliano ya hela ilikuwa ni biashara faida tugawane sio ya kuila,
 
Mpe helaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja abebe mzigo wake mwenyewe.. Wewe beba wako. Mpe kiasi kinachotosha kumuhudumia yeye na mtoto... Hao ndugu zake hawakuhusu.
 
Huyo unamuendekeza mkuu, muda mwingine akiomba hela mwambie huna asubiri. Nenda naye kikauzu atapiga makelele mwisho atazoea tu, mwanamke sio wa kumuendekeza yan unaweza mtumia hela dakika hiyo hiyo naye akaanza kueleza shida nyingine hapo hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…