Aisee kama unampenda mtu wako huwezi muita we msen....!Pole dada ,
Jaribu kuongea nae mwambie akikutukana unakwazika, ujue sometimes vijana kwao neno kama ms**ng, k*ma, ni maneno ya kawaida wakiwa wanapiga story so inawezekana maneno hayo ya kijiweni anayaleta na nyumban....
Ongea nae kwanza kiustaarab dada.
huwez kunitukana matusi mazito unambie ni maneno ya kawaida aseePole dada ,
Jaribu kuongea nae mwambie akikutukana unakwazika, ujue sometimes vijana kwao neno kama ms**ng, k*ma, ni maneno ya kawaida wakiwa wanapiga story so inawezekana maneno hayo ya kijiweni anayaleta na nyumban....
Ongea nae kwanza kiustaarab dada.
Yes ni mlevi sn yani anakunywa sn pombe. Akilewa ndo nakesha natukanwa.Pole sana, dada vipi anatumia kilevi chochote huyo jamaa na mwanzo alikuaje
kwa hali iliyopo ya sasa ni vyema arudi nyumbani afajye michakato ya kaz akiwa nyumbani, anakua na uhakika wa kula hata mlo mmoja lakini wa amani sio wa manyanyaso na matusi mbele za watuAnakunyanyasa hivyo maana anajua huna kwa kwenda pia kakuchokaa na kachoka kukubebaa..! Kwa kuwa umemaliza chuo sidhani kama huna ndugu kabisaa yani... tafuta hata ndugu wa kike mwambie hilo tatzo muombee akuhifadhi huku unajipanga...!
Ningekua na kwetu ningesharudi sikunyingi tu navyokwambia sina pa kwenda niamini ni vile tu siwezi kuweka wazi kilakitu humuHuna kwenu? Umeshajiuliza utaendelea kudharaulika had lini???
Ng'ombe akivunjika mguu malishoni hurejea zizini na mchuma janga hula na wa kwao, ushalichuma nenda tu nyumban angukia wazaz wakusamehe pengine hiyo kaz usipate
Ushaonekana huna pa kwenda hapo ndio imefika kwan umefanya janga kwenu had ushindwe kurudi??
Halaf unajua kama kaz ni ngumu kupata sasa hivi? Kama hujui ni vyema ujue sasa
Rudi kwenu.
Habarini wapendwa. Nina jambo linaniumiza sana naombeni ushauri. Ninaishi na mwanaume mwaka wa pili sasa unaenda. Naombeni msinihukumu kwanini naishi bila ndoa, nilipitia changamoto kubwa sn mpaka kufikia kukosa mahali pa kuishi huko nyuma kwahiyo kimbilio likawa kuishi na mpenzi wangu. Tatizo sikuhizi ananitukana sana matusi ya nguoni yani kosa dogo utasikia we mse*, we ni kum* tu, kum* la mamayako, we matak*, mbaya zaidi wakati mwingine ananitukana mbele za watu yani navumilia mpk nachoka sasa. Naombeni ushauri wa mawazo nifanyeje. Plz msinikejeli. Natamani sana kuondoka lakini kwasasa sina pa kwenda, nimemaliza chuo juzi nasubiri angalau nipate neema ya kazi ndo nitaweza kuondoka ila kwasasa nishaurini tu