hapo poa so huyu jamaaa akileta za kuleta nitamfanyizia mke wangu halafu natishiwa oooooh hainijii akilini unajua ...hata kidogoUmesahau Musa na Wachawi wa Misri kubadili fimbo kuwa nyoka? The only difference ni nyoka wa Musa aliwameza wale wa Wachawi kuonyesha tu Mungu ni zaidi lakini mtihani wote walifaulu sema Musa alipata 'A' Wachawi wakapata 'B' so uchawi upo.
Ilo wazo nimemtoa mbali futa we fanya yako kwanza upo mkoa gan?huyu mke kabisa nimemtoa mbali sana ... sema hapa ngoja nimpe mtoto fasta ...ili wasiwe wanamsumbua
Kama kigoma baba endelea to na msimamo wako maana kigoma akujambo kwa ayo mambo nilizan upo jiji la mwendo kasiniko kigoma ila kikaz zaid ndo nikamleta wife toka home mbali huko nyanda za juu kusini
Hyo ndo best option..Hawezi chezea wake za watu hivyo halafu anachimba biti.Muendee kwa babu tuyaaan namsubiliaa hapa kesho akijichanganya tuuu ...mdogo mdogo kwa wazee hata buku tano haiiishi .... hakuna namna
..lazima ajue kuwa mke wa mtu ni wa mtu
lazima ...halafu sijui kwa nin watu hawajui kuna watu wengine ni tofauti et unanitishia mimi .Hyo ndo best option..Hawezi chezea wake za watu hivyo halafu anachimba biti.Muendee kwa babu tu
yuko mzur sana unajua ila kuweka picha no siunajua ndo nimemtorosha kwa home so ...it is confidential ila yuko poa sanaHii ni habari,taarifa ama kuomba ushauri...huyo mkeo embu tuwekee picha tujue kama kweli anaweza kumsababisha mtu afanyiwe uchawi!
Nawajua sana ukimchukulia mke akikwambia anakuroga kwell radhima akushugulikieniko kwa muda mfupi si unajua wasaka tonge na watu wa huku hatar ukiiba mke wa ntu .
.so na mie natumia njia hiyo hiyo
Hajakujua vizuri huyo..Halafu kigoma kuko poa sana huko. Fanya mishe mdau asirudie tena huyo. Analeta ujuaji mbele ya mali za watu.lazima ...halafu sijui kwa nin watu hawajui kuna watu wengine ni tofauti et unanitishia mimi .
.nimeshangaa sana ... sijamtukana halafu anatishiaaaa daaaah ngoja watu wanaloga mahakama yeye ananitishia
we had nasema hiv maaanake najia system zote za hapa na wataalam najuana nao siunajua hela japokuwa bado young ila ninaogopwa na wazeee ...Hajakujua vizuri huyo..Halafu kigoma kuko poa sana huko. Fanya mishe mdau asirudie tena huyo. Analeta ujuaji mbele ya mali za watu.
Mbona unasound too boyish unawezage kuwa na uchawi...ulifunza na nani huo uchawi ewe mvulana?yuko mzur sana unajua ila kuweka picha no siunajua ndo nimemtorosha kwa home so ...it is confidential ila yuko poa sana
Teh tehyaaan namsubiliaa hapa kesho akijichanganya tuuu ...mdogo mdogo kwa wazee hata buku tano haiiishi .... hakuna namna
..lazima ajue kuwa mke wa mtu ni wa mtu
Mta uwana bule jamani!!!!nimemuuliza akasema alimfuata mara tatu so ikabid ampe ili amjibu so hayo ndo maneno ya baby ...ila yeye akawa msumbufu unajua tatizo sio kumtongoza ila kunitishia mim aiseee ..