sempulinho
Member
- Oct 6, 2013
- 54
- 12
Mpenzi wangi ambaye tumezaa nae mtoto mmoja nmegundua ananisaliti baada ya kupekua simu yake kukuta sms za zaidi ya mwanaume mmoja. Tena wote ni wafanyakazi wenzie anafanya nao kazi uko kwenye vikosi vya usalama. Nimejaribu kumkanya naona anaendelea ukweli ini kua nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili aache iyo tabia
Naombeni ushauri nifanye nini ili aache iyo tabia