mpenzi wangu ananipenda sana lakini....

Mfanane makabila ili iweje?!
Kwani kwenye ndoa mnaenda kutambika mizimu?!

Pili, sidhani kama unampenda!
 

Mmmh!! mpwa kwani hapo kuna kasoro gani kwa mtu kuvaa nguo yenye maandishi kama hayo??

Mbona Wamaasai wanavaa nguo zao za utamaduni na bado hakuna anayewanyooshea kidole?
 

hisia zake nitazijuaje mie? kwanza wanaohitaji ushauri wanahitaji kuona mitazamo ya wengine juu ya jambo hilo kwahiyo kila mtu anatoa ushauri kutoakana na hisia zake na mtazamo wake binafsi juu ya hilo jambo.
 

hahahah, mkwe ujue huwa tunakosea sana tangu awali halafu malavidavi yakishakolea mnataka mpige hatua mbele ndio mnagundua kumbe dini sijui kabila ni kikwazo. vizuri kujichuja mapemaa maana mapenzi hayajaribiwi.
 

Anayekwamisha mchakato mzima ni wewe mwenyewe wala usisukumie hilo zigo la lawama kwa wazazi wako...

Mtambulishe huyo mpenzi wako kwa wazazi wako, pengine wakawa na mtazamo tofauti na unavyodhani...

Tambua mwisho wa siku wewe ndiye utayeishi na mtu umpendaye...
 


Ndio hayo hayo tu kuna makabila wazazi wana nguvu kwa watoto mpaka unashangaaa mtu baba zima linakemewa na kuagizwa na mama yake bila hata kujali uwepo wa watu na mke wa huyo jamaa!!!!!!!

Historia nayo ina mipaka banaaaa kama mtu walimegana na dada yake wa kabila fulani basi ndo iwe mwiko kwa kabila hilo kuoa au kolewa kisa hulka hiyo ya watu wawili????!!!!

Changanya na zako bana kuna makabila ni wabaguzi tuuuu for no good reason na wao wala sio kama ni wasafi saaaaaana wana mapungufu kibao ikiwa ni pamoja na kina baba kufanywa ma first born aaaaaargh!!!!!!!!!

Better be proud ila muambiane ukweli tu huko vyamani kuwa dunia ya sasa ni zaidi ya hiyo habari ya makabila na nyie wajanja wajanja mkiwa kule mnajidai wamoja mkitoka hapo mnaishi uhalisia,ndo limemkuta huyo anahaha tu hapa na waweza kuta baba yake ndo katibu wa cahama cha kikabila na mama mjumbe wa kamati ya wanawake wa kabila hilo!!!!

Sasa anatakiwa kuishi maisha yake na ya wazazi wake at per wakati wazazi waliisha ishi yao...so na nyie muishi yenu ila ya watoto mjue ni yao
 
hisia zake nitazijuaje mie? kwanza wanaohitaji ushauri wanahitaji kuona mitazamo ya wengine juu ya jambo hilo kwahiyo kila mtu anatoa ushauri kutoakana na hisia zake na mtazamo wake binafsi juu ya hilo jambo.

well well i got you.:focus:
 
Hata mm naitaka hiyo t-shirt........hope watu8, Baba V, IGWE na wengineo wote mkiipata hiyo makitu mtaniletea!!!!

Ofcoz yes_....na ukiifuma sehemu please niletee ntakuwa navaa kanisani,kazini,bar,disco,mtaani mpaka ichanike.....proudly Nyakyusa...ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nahodha mzuri hapimwi na utulivu wa bahari....kama unampenda simamia kwenye mapenzi yenu..
 
Ofcoz yes_....na ukiifuma sehemu please niletee ntakuwa navaa kanisani,kazini,bar,disco,mtaani mpaka ichanike.....proudly Nyakyusa...ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa

Welaaaaaaaaaaaaaaa
 
wazazi wengine bana hivi hii kitu hadi hivi leo vipo bachi wakutafutie jamaaa wa uko kwenu tena uwambie wakuleteee utakaye mpenda manake zamani walikuwa wanachagua pia walikuwa wanasaidia kutafuta
 

Kwani kabila lenu bado linafanyaga matambiko? manake isue ya makabila ishapitwa na wakati ss hivi! kama wazazi wanaogopa kumpeleka mwanao mbali hiyo ilikuwa karne ya 17, lakini ss hivi hakuna safari ya siku 2 bongo! So mm sioni isue hapo!

After all mwanamke ndiye anayetakiwa kuonyesha msimamo katika hilo ila kama anampenda kweli jamaa yake
 

Kuna gesi saiv kule, wazizi wako hawajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…