Mpenzi wangu ananiita baba, je ni sahihi?

Mpenzi wangu ananiita baba, je ni sahihi?

mi naitwa baba hadi akina mama ntilie mbona simind
 
Anakosea sanaaaa. Kuitwa Daddy au Papa at least mfuko uwe unaeleweka maninaa anakupa sifa sio zako mteme fasta.

Na wewe kaa kwa kutulia. Wewe tayari ni Baba Acha akuite tu[emoji51][emoji51]
Kimeumana!
 
Hivi ni sahihi mpenzi wangu kuniita baba? Amezoea kuniita jina hilo je, kuna madhara?
Kak una nikumbusha enzi za ujana nipo Moshi nika date na li dada la stationary yaan alikuwa ananiita babaah
Ss siku nilipokuwa nae 4*6 nikitoa DOZI anapiga kelele wewe babaah babaah yanguuu oh oh ndipo hostel mate wenzangu wakaniuliza jana ulikuwa ulikuwa unamlilia baba yakoo au ? Hahahahaha bac washikaji wakawa wananiita babah 😆😆
Dah umenikumbusha mbali, ww usiwe na wasi kuitwa baba
 
😂😂😂😂😂😂

Mawli...

1...anakutegemea Kama baba anavyotegemewa.jiandae kwa mizinga

2.anakuandaa kuwa baba watoto. Anasikilizia unavyolipokea Hilo nafasi
 
Baadhi ya Wanawake wanapenda sana kutumia hilo neno Baba kwa waume zao au wapenzi wao, binafsi sioni sababu ya kulitumia.
 
Back
Top Bottom