mrskhoory
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 220
- 112
Kwanini ulikurupuka na hukujipanga? Ungejiuliza Mara 2 nimeshindwa jee hii ya 3 mpaka 90 ntaweza bila yeye? Samahani sana ikiwa ntakua nimekukwaza, niulize yeye ndio Ana K peke Yale au unapewa vyengine hujawahi pewa? Au uhisi anakudharau kua your not a man enough for her? Kwa ufupi HAKUTAKI kachoka kukwambia Kwa maneno sasa anafanya Kwa vitendo... Ebu amka mwanamme...