Mpenzi wangu ananichanganya

Mpenzi wangu ananichanganya

Dizain kama unatafuta promo huku jf uonekan dat ukipend unapenda kwel thn aftr maumivu uanze kufanya yako humu.😕.Ni mtazam tu, ol n ol pole brothr hzo ni changamoto 2
 
hebu nipe siri ya mafanikio uniokoe na mie, make mi siwezi kukaa bila hiyo kitu na nikinyimwa nalia machozi kabisa na kamas zinatiririka kama mtoto wa kondoo

Mimi hakuna nilichobakiza kuanzia za kununuwa mpaka za free, sioni jipya isitoshe nina Great dream to archive by the way pia nilipomsoma Mwanamapinduzi Che guevara aliondoka Congo kwa sababu aliwaambia kina Kabila Sr, kwamba huwezi kuwa mwanamapinduzi kwa kuendekeza pombe na ngono.

Bahati mbaya wewe ni Ke na umri wako inaonekana ndio uko hot, huliwezi zoezi hili.
 
kweli wewe una mahaba nizike... umefumania mara tatu alafu bado unataka tu kuendelea mkuu??? ni mpenzi tu sio mke, mapenzi yanauma sana ila give yourself time.. time will heal everything!
 
hujapenda ndio tatizo

Hujakuwa bado. Ukijuwa Obama na Michelle hawalali chumba wala kitanda kimoja ndio utatafuta upya kwenye kamusi kupenda ni nini.

Usidhani mimi sijui care and share mimi najitambuwa vilivyo.
 
kwa nnavyowajua hao wa2, usharogwa tayari.... pole sana
 
Jipe moyo mkuu utashinda tu hawa watu ukiendekeza pasua kichwa sana,
 
Achana naye wewe unakuwa mtumwa wa mapenzi...
 
Wajamani nitakufa.

Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu.

Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki.

Kwa bahati nzuri siku ya ijumaa nikawa nimesoma hapa MMU kuwa kazi ya moyo ni kusukuma damu siyo kupenda, nikamuacha mpenzi na kashifa juu.

Kufika usiku siku ya ijumaa usingizi sikupata, jumamosi moyo uliniuma nahisi damu ilikuwa imepunguza mwendo.

Jumapili yote jana nikawa bedrest moyo, akili vimepoteza mwelekeo.

Leo kazini kazi sikufanya.

Jamani mtoto wa kirangi ananifanya chizi.

Nimemtumia sms ya kurudisha majeshi leo,nimekoga matusi.

Katika watu wajing.a weh.u na wapumbav.u wewe ni mmoja wapo aisee hivi huyo mpenz wako ana nini cha ajabu mpaka umgande ivo warangi ni shida wanagawa papuchi kwa kwenda mbele pole sana rudisha tu majeshi sie tunasubiri kukuzika
 
Wajamani nitakufa.

Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu.

Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki.

Kwa bahati nzuri siku ya ijumaa nikawa nimesoma hapa MMU kuwa kazi ya moyo ni kusukuma damu siyo kupenda, nikamuacha mpenzi na kashifa juu.

Kufika usiku siku ya ijumaa usingizi sikupata, jumamosi moyo uliniuma nahisi damu ilikuwa imepunguza mwendo.

Jumapili yote jana nikawa bedrest moyo, akili vimepoteza mwelekeo.

Leo kazini kazi sikufanya.

Jamani mtoto wa kirangi ananifanya chizi.

Nimemtumia sms ya kurudisha majeshi leo,nimekoga matusi.

Duh!Umemwaga ukweli bila hata kujipa pointi. Ushauri wangu jitahidi kurudisha majeshi. Kubali huyo demu kuchepuka ni moja ya hobby zake, kwa hiyo na wewe umtreat kama mchepuko hadi pale utakapomchoka. N.b : USIPIGE DRY.
 
Unatishia kuachia ushuz wakat una kipindupindu?????
 
Wajamani nitakufa.

Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu.

Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki.

Kwa bahati nzuri siku ya ijumaa nikawa nimesoma hapa MMU kuwa kazi ya moyo ni kusukuma damu siyo kupenda, nikamuacha mpenzi na kashifa juu.

Kufika usiku siku ya ijumaa usingizi sikupata, jumamosi moyo uliniuma nahisi damu ilikuwa imepunguza mwendo.

Jumapili yote jana nikawa bedrest moyo, akili vimepoteza mwelekeo.

Leo kazini kazi sikufanya.

Jamani mtoto wa kirangi ananifanya chizi.

Nimemtumia sms ya kurudisha majeshi leo,nimekoga matusi.
hihihi kumbe na nyie huwaga mna ka-small heart.. poyee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom