Mpenzi wangu analia muda huu kwa kumkatalia kuni-massage

Mpenzi wangu analia muda huu kwa kumkatalia kuni-massage

Hicho tu unaogopa? Mwenzio siku ya kwanza kunyonywa kinyeo na dem wangu nusu nipigane. Ila mtanga yule kiboko alinibong'olesha na undava wangu wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mndava?
 
Salam!

Tupo room muda huu na mpenzi wangu, analia hapa na kajilaza,

Sababu kuu ni kuwa nimekataa ani massage,

Alitaka anifanyie ya mwili mzima, yaani nilale kifudi fudi aone makalio yangu?

Nimekataa, aisee siwezi ruhusu ayaone wala kuyagusa,

Naona ugomvi unazidi kuwa mkubwa na ame-mind sana.

Namuamsha hataki, anasema simpendi. Ananiuliza ni nani ananifanyia masaji kama sio yeye,

I can't!

Kama hali ni hii wanandoa wana shida mno.

Nakosa maneno ya kumuelewesha.
hivi how mna massage

mwambie wifi nahitaji training
 
Alitaka anifanyie ya mwili mzima, yaani nilale kifudi fudi aone makalio yangu?

Nimekataa, aisee siwezi ruhusu ayaone wala kuyagusa,

😅😅😅😅😅😅😅🙆🏾‍♀️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom