Mpenzi wangu analia muda huu kwa kumkatalia kuni-massage

Mpenzi wangu analia muda huu kwa kumkatalia kuni-massage

Mwanaume unatoka kuoga unatoa taulo uko uchi kabisa afu uchukue lotion sijui mafuta una Anza kupaka tako lako mafuta unajishika shika huku na Huku mamaeee ..!
Hyo Ni kitu swezi
Ni upuuzi tu!
 
[emoji23][emoji23]office zao hivi unavua nguo zote au unabaki na boksa?
Ni wewe tu; kutokana na mafuta, huwa navua zote wananipa taulo, huku binti mrembo akiwa karibu na nguo za masham sham, taa zikiwa na mwanga wa mwezi
 
Shida hampakagi makalio mafuta.. ndiyo maana hamjiamini kuyaachia wazi wazi
Ndio najua leo makalio yanapakwa mafuta tena mtoto wa kiume

Oy Zee Korofi komaa wanakuwaga ma shemale hao makalio yako ayaguse yanini niulimbukeni napinga hilo jambo

Mimi nakumbuka kipindi nipo 4m1 nilipata kadem sikumbili mbele mda wa kurud homu akanishika tako weeeee niliwaka na hapo ndio mwisho wetu

tako la mwanaume hazina sisi wenyewe hatuyashiki wewe nani mpaka uyashike

SHABASHI
 
Uyo dawa yake mwache akufanyie masaji alafu mjambie uone kama utasikia bebi njoo nikumasaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio najua leo makalio yanapakwa mafuta tena mtoto wa kiume

Oy Zee Korofi komaa wanakuwaga ma shemale hao makalio yako ayaguse yanini niulimbukeni napinga hilo jambo

Mimi nakumbuka kipindi nipo 4m1 nilipata kadem sikumbili mbele mda wa kurud homu akanishika tako weeeee niliwaka na hapo ndio mwisho wetu

tako la mwanaume hazina sisi wenyewe hatuyashiki wewe nani mpaka uyashike

SHABASHI
Umeona eeeh?
 
Mbona issue ndogo sanaa hyo?ukikataa masaji ukiugua ile hata hujiwez ndo atakuwa anakutawazaa...sasa linganisha masaj ma kutawazwa ni kipi kigumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom