Mpenzi wangu analalamika umri umeenda anahitaji tufunge ndoa tutengeneze familia ila mie kimaisha bado sijasimama

Haya mambo sisi hatutakuwa na jibu la moja kwa moja. Kaa ww na yeye mpange itakuwaje. Bila shaka hali yako anaijua vyema. Wekaneni wazi mkiwa tayari kuvumiliana na kusaidiana nyie oaneni.
Mtangulizeni Mungu mbele hilo pia ni swala la kimungu.
Majukumu hufanya akili kutanuka.
 
Acha woga kuna bodaboda wana wake zao na wanaishi poa

Mtasimama pamoja hukohuko. nenda kapambane ukiwa nae ndio utamuheshimu, kuliko akikuta ushachuma mali zako maana utamdharau na kumuona “gold digger”

Boda boda wana kipato cha uhakika
 
Kama kweli unampenda fanyeni utaratibu wa kujitambulisha kwa wazazi wa pande zote mbili, mnaweza kufunga Ndoa isiyo na gharama yoyote mengine yataendelea mbele kwa mbele, Mungu awatangulie.
 
Kwani wewe unataka kujiandaa kwa vipi? Binti si anajua hali yako halisi? Sometimes two heads are better than one. Maisha si ya kwako na yeye? Ingia kwenye ndoa mtapambana na hali zenu. It seems you are not honest with her of your status
 
Kaka maisha ya sasa ni kujilipua usiogope kuingia kwenye ndoa, isitoshe mpenzi wako anaelewa hari yako fanya mpango ukatoe barua na mahali kidogo zen muanze maisha uwezi jua baraka zinaweza zikashuka kaka, mimi binafsi nina ushaidi na hichi ninachoongea fanya maamuzi kaka.
 
Nyie mnataka kumsukumia mwenzenu kwenye umasikini chronic...eti oa yatajisort... Usioe kama hujajipanga mkuu
Ili jibu zuri sana mfano mm nina watoto 6 wife nilimkuta na mtoto mmoja jumla tunao 7 mm nafanya kazi wizara ya ulinzi mtoto wa mke wangu nikamuingiza nae kwenye kwenye kazi hii hii nayo fanya mimi uyu dogo now ni private juzi tuu hapa ndo ametoka maliza mafunzo yake ya rts apo kiangaiko now yupo 9* anafanya level 3 sasa huyu dogo my step son nampenda sana kwanza ana heshima na ananisikiliza mno mana mm ndo nimemlea tokea akiwa na miaka mi 3 mana nilimuoa mama ake mwaka 2001 kipindi iko dogo ana miaka 3 mm nilikuwa na miaka 18 ndo nimemuoa mama ake mana niliajiriwa serikalini nikiwa na umri wa miaka 16,sasa huyu dogo mshahara wake wa kwanza akataka nipa mimi na mama ake akawa ataki mpa baba ake alikuwa anamchukia sana baba ake nikamwambia mshahara wako wa kwanza mpe mama ako mzazi na baba ako mzazi.

Akaniambia ww ndo baba angu nikamwambia sio mzazi baba ako mzazi yupo mkumbuke hata kama ajakulea hata kama alikutelekeza ila mpende ulisilipize ubaya wala usimuwekee chuki ni baba ako yule mpende tuu ww iyo laki 7 na 90 nusu mpe mama nusu mpe baba mzazi dogo akanishangaa sana lkn alimpa baba ake na nikamwambia umtunzee mzee wako yule ni baba ako na kweli anamtunza ila nilimpa ushauri mmoja mkubwa nikamwambia ucje ukawai kuoa oa ukifikisha miaka 30 mana now ana miaka 23 mimi niliwai kuoa kwa sababu nilikuwa na kazi nzuri pia nilikuwa nishajipanga vzr ndomana nikaoa japo ndugu zangu waliongea sana nimeoa mwanamke ana mtoto lkn sikujali nikaoa nashukuru Mungu tokea nimuoe mke wangu atujawai sumbua watu kwenye ishu sijui za kusuruhishana ndoa cjui nn cjuii nn mm naweza kusafiri kikazi mpaka miezi 6 crudi home ila nakuta hm mambo yako sawa tuu kwaiyo kijana usioe kama unajipanga utajuta tena utajingiza kwenye umasikini,ndoa ni furaha ndoa ni upendo ndoa ni pepo ya duniani jipange vzr ndoa uingie utaona utamu wake ila ukiishi kwa mihemko ya mwanamke ukishi kwa kupelekeshwa kwa hisia bila ya kutumia akili aisee utajuta sana kuingia kwenye ndoa

Kwako mtoa mada Mwambie mpenzi wako akusubiri mpaka mambo yako yatakapo kaa sawa kama awezi acha aolewe na mtu mwingine.
 
Muulize ujana wake alikula na nani,?
Oa ukipenda usilazimishwe

Noted 😁
 
Mkuu,muowe huyu mtu wako,usiogope majukumu,usikimbie majukumu

Mwenye majukumu ndie mwenywe maendeleo

Mwenye majukumu ndie mwenye kasi ya kutafuta..
 
Back
Top Bottom