adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,035
- 15,540
Poleni na majukumu.
Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana. Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto
Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama angu kuja kwangu bila taarifa! Simu zina kazi gani kama wewe unakuja tuu OUT OF THE BLUE.
Privacy ni kitu muhimu sana lakini wengine hawataki kuheshimu privacy za wengine...ila wewe mdada kweli nakupenda lakini endelea na mazoea ya kidandara kuja geto bila taarifa utachokuta usijutie.