Mpenzi wangu anakuja ghetto bila taarifa nimfanyeje?

IMG-20200916-WA0004.jpg
 
Anakuja bila taarifa ila naamini ukiwaga ndani huwa unajifungia

sasa akija ukiskia mlango unagongwa chungulia kwenye pazia,ukimuona

n yeye Rudi chumbani kimya kimya tia earphone maskioni Kula ngoma kwenye simu yako

muache hapo mlangoni mpk akili imkae wima,kula ngoma ukichoka Lala vuta usingizi ule wenyewe kbsa.

ukishamchomesha mahindi ipasavyo nakuhakikishia Next time,akiwa kwao anavaa nguo anataka kuja kwako atakupa taarifa.
 
Poleni na majukumu.

Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana. Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto

Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama angu kuja kwangu bila taarifa! Simu zina kazi gani kama wewe unakuja tuu OUT OF THE BLUE.

Privacy ni kitu muhimu sana lakini wengine hawataki kuheshimu privacy za wengine...ila wewe mdada kweli nakupenda lakini endelea na mazoea ya kidandara kuja geto bila taarifa utachokuta usijutie.
NA WW SI UMSUPRISE SASA
 
Inaonesha hajiamini au Hana Imani na wewe, Ila Kama unampenda kwa dhati sio issue Sana, kwa kiasi kikubwa hasara inabaki kwake cause siku nyingine atakuja na asikukute
 
Back
Top Bottom