princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,062
Mkojolee nayeye
Kazi unayo ila.....Mpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?
Magodoro yote yameoza.
Nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaloa.
Akinywa maji ya bahari anakojoa chumvi.