Pole sana ndugu yangu,naomba nitafute nikupe sawa baada ya siku saba ataacha kuwa maji kitandani kabisa maisha yake yote,tuwasiliane mkuumpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?
magodoro yote yameoza.
nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaroa.
Njoo pm mkuuunapatikana wapi mkuu? huyu ni kikojozi sugu dawa zote zigonga mwamba.
Mkuu njoo pm nitakupa sawa ukaifanye baada ya siku 7ataacha maisha Kimwaga maji kitandani usikuunapatikana wapi mkuu? huyu ni kikojozi sugu dawa zote zigonga mwamba.
Sawa mkuu,ila kweli dawa naifahmu kuacha kukojoa kitandani kwa yeyote yule awe Mme au mke ataacha ndani ya siku saba kwishine Kimwaga kwa kitandamkuu sio kweli natania tu. it was just a joke
Hahaha bora tu kutokee shambulio jingineBean umetoka kutafuta mke sasa hivi tu umeshapata na kitandani kakojoa?
Hahah!! Usiombee aiseeHahaha bora tu kutokee shambulio jingine
Sasa hawa kina mr bean fujo nyingi sanaaHahah!! Usiombee aisee
Hahahahahahaaaa.Bean umetoka kutafuta mke sasa hivi tu umeshapata na kitandani kakojoa?
Kwa akili hizi....mkuu sio kweli natania tu. it was just a joke