Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

A_Girl Jikaze tu Mbona Kongosho yameshamtokea kama yako zaidi ya five Times na hana kokoro wala nini Anadunda tu..

Preta yeye hupenda married man tu huwa hadeal kabisa na Single Man!

So A_Girl yakikutokea tena hautakuwa na uchungu kama ulionao sasa hivi, utakuwa ushazoea tu Ukipata Mpenzi mwingine uta enjoy tu wewe sio kwamba unampenda huyo Mpenzi wako ni ulikuwa umekolea na Penzi lake tu au wataka sema ulipenda Sura na Si Mapenzi?
 
dah, hao wapenzi wenu hawawapi hata prior notice kwamba wanaoa/wanaolewa au kuna poor communication? anyway, wanaume na wanawake wapo wa kumwaga and everybody is assured of one, so don't worry
 
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?
Wewe cha kufanya tafuta mwanamume nawe ufunge ndoa iwe sare
 
Mtoe kabisa mawazoni mwako,kama una namba yake ifutilie mbali. Mungu atakupa wa kwako,
 
Let him go, so many good guys kwa mtaa just mek sure u pick the rait one this time around. Pole..
 
Hyo yako mbona cha mtoto,me wangu kaolewa ijumaa ilyopita,na nimeona nkifkria sana naweza kufa kwa presha bure!we tulia zako,yupo alie andaliwa kwa ajili yako.

ndio muungane ili mpeane faraja, maana inaonesha hakuna katiyenu alie na mpenzi kwa sasa so hamuwezi fanyiana kama mlivofanyiwa.
 
Karibu kwenyechama la mabachala, iwe akikupenda mnamalizana leoleo thn kilamtu anashika hamsin zake.
 
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?

tatizo ulipenda palipokuwa pamependwa so tek hat and retrive ur emotions
 
Kubali tu yaishe,hukulia kama vile ni umepata sup na bado umecarry.
 
Pole ndugu. Kubali kuwa kuna vitu umepungukiwa kwake ndiyo maana kaamua kurudi kwa x. Sahau yaliyopita na anza maisha mapya.
 
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?
Kuna dawa inatolewa na waganga ya kumrudisha mpenzi wako akupende kama chizi tafuta magazeti ya udaku utawaona matangazo
 
bora we umesema kwel unataka wa kudanganyana tu,na iyo ya kupenda kwel ndo inayonitesa
 
unataka tukusaidiaje?
Tukazuie ndoa?

Kubali hali halisi ,move on na maisha yako........
 
Inaonekana huyu bwana ulikuwa unampenda kw dhati na yye hakupendi na ndo ilivyo dada angu,usiuumize kchwa,kama we ni mzur,mwenye heshma yako,kaz yako,n.k.Utapata HB wa ukwel.USFANYE MAAMUZ MENGNE ZAID YA HAYO mf.KWENDA KWA WAGANGA Ili umuharibie,kunywa sumu,kumpa vitisho,n.k.Usilazimishe mapenzi yatakukost
 
Haikuwa riziki, tulia anzisha maisha mapya tambua kwamba wewe ni muhimu na maalumu kwa yule tu aliyepangwa na Mungu kwa ajili yako!
 
Amini haukupangiwa kuolewa na huyo kaka. Tulia utapata wako. Pole sana.
 
Back
Top Bottom