Mpenzi wangu ana wivu sana


mkuu anaweza mambo
 
Huyo mwanamke hata kama utakomaa ili umuoe maisha yenu yatakuwa na misukosuko.. Hayatapata maendeleo ya kweli, maana wewe utampa hoja ya kusafiri kikazi, au lolote lile la maendeleo.. Yeye atakuletea srory za mapenzi mda wote, kwa kigezo kuwa anakupenda, tena nakusihi saana uwe makini kama huna mpango nae.. Au una mpango nae.. Uwe makini usimpe mimba.. Maana utakuwa umeongeza shida mpya.. Kama tanzania tulivo na shida ya kiondoa ccm.. Alafu tuongeze kumuweka makufuli pale magogoni.. Nakuhakikishia.. Utaja kumbuka usia wangu kwako. Mpe mda zaidi pia mshauri akuamini, na kuwa hupendi kama hawezi kukuelewa.. Hata mkiishi net1 tatzo litakua na umri zaidi.
 

mkuu kweli wew ni G.T,kula like 100000000000
ushauri wako naanza kufanyia kazi nw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…