Sijui kwanini wengine hupenda kujulikana wao ni matawi ya juu ili hali si kweli. Sijui ni tatizo la akili , kweli wengi wamekosa vitu vya maana sababu ya kujikweza. Hebu ona anamdanganya hata mtu anaetarajia kuishi nae mpaka kifo kiwatenganishe. Ni hatari sana unapopoteza uaminifu ktk kauli zako binadamu.