Mpenzi wangu ana kiburi

Kumhandle vibaya mpenzi wako ni upuuzi mara 100 ndo maana anatukumbuka ma X wake. Usilielie hapa umeharibu mwenyewe acha tukusaidie.

Kwanini kawa X kama alikuwa ana muhandle vizuri? Mpaka anaenda kwa X ina maana hajui nini atakacho.Mkuu unahitaji uangalie filosofi zako kwa jicho la tatu
 
Embu nikuulize swali dogo wewe no mvulana au mwanaume!!?😳😳
 
Kwanini kawa X kama alikuwa ana muhandle vizuri? Mpaka anaenda kwa X ina maana hajui nini atakacho.Mkuu unahitaji uangalie filosofi zako kwa jicho la tatu

Unakaribia kidogo nawe kuwa X wake ambaye hatakukumbuka hata kiduchu. Unalialia sana.
 
Achana nae unaumizaje kichwa ilihali wanawake watiifu wapo wengi,acha kulia lia unatudhalilisha wanaume wenzio
 
Wanawake ni wengi sana hapa duniani, usiumie moyo kwa mtu asie ona umuhimu wako
 
atakwambia? we jiaminishe tu!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…